Serikali yafanya kufuru, Yatumia milioni 50/- kumlipia Waziri Hoteli

lisemwalo ......lipo
 

Attachments

  • KATUNI(461)[1].jpg
    KATUNI(461)[1].jpg
    29.7 KB · Views: 237
Siku hiyo nilighabika sana.Waziri mkuu bogus kupita maelezo na serikali bogus.Waziri mkuu kwa nafasi yake haiwezekani asijue kwamba kuna mawaziri wanaoishi hotelini. Kama kweli alikuwa hajui basi hatuna mtu pale.Angalia na jibu lake la kejeli 'nimesikia',kudadeki! si aliulizwa huko ndio kupunguza matumizi? Amesikia nini? pambaVUU!!!

Ni Waziri huyu huyu tunategemea ayaone au kuyafahamu matatizo ya walalahoi!
 
Ni lini alitoa kauli dhabiti?

Kumbukeni kauli zake kuhusu mambo haya:-

  • Uwezo wa mafisadi
  • Wauaji wa albino wakikamatwa
  • Malipo kwa Dowans
  • Ununuzi wa mashangingi
  • You name it!
 
Siku hiyo nilighabika sana.Waziri mkuu bogus kupita maelezo na serikali bogus.Waziri mkuu kwa nafasi yake haiwezekani asijue kwamba kuna mawaziri wanaoishi hotelini. Kama kweli alikuwa hajui basi hatuna mtu pale.Angalia na jibu lake la kejeli 'nimesikia',kudadeki! si aliulizwa huko ndio kupunguza matumizi? Amesikia nini? pambaVUU!!!


Nijuavyo PM ndiye mkuu wa mawaziri wote na wanapata idhini ya mambo yote kama safari nje ya nchi,posho,likizo kwa approval ya PM.Sasa huyu sura mbaya kuliko Remmy analeta usanii wa bagamoyo kwa boss ktk masuala nyeti.TO hell PM and GOVT
 
Pm ana majibu ya kisiasa.anatoa majibu rahisi ktk maswali magumu.ba jabir umesema kwel hapo juu,serikal hii RAMSA 2pu,utadhani kaole wapo jukwaani.eti anajiita mtoto wa mkulima?labda aseme MTOTO WA ANAELIMIWA.
 
Sio kwamba pm hakujua kama nahodha anaishi hotelini, yeye alidhani kuwa watanzania hawajui kama mawaziri wao wanaishi hotelini, wanatuita sisi kuwa ni wadanganyika. Wana ujasiri mbaya sana wa kujiamini kupita ukawaida. Sio mara ya kwamnza wao kufanya hivi, wanajaribu kukanusha kila ukweli, mauaji ya nyamongo, arusha, tabora, zanzibar na pengineko..you name. Wana hoja za kulazimisha, sasa fikiri eti spika anampiga stop mkuu wa mawaziri kujibu hoja naye ananyamaza..mtoto wa mkulima. Kuna mtu JF pia katumia lugha mbaya ya kukashfu sura ya pm, hiyo si nzuri, watu wazima hujadili hoja na si vihoja.
 
Hapo pm umechemsha unaonekana ni mvivu hufuatilii mambo. Speaker naye bogas swala la barick linapaswa kutolewa majibu bungeni, kwa wenzetu limepamba moto sisi tunaleta usanii. Huyu bi kiroboto ni wa hovyo anashindwa kuona mtazamo wa kimataifa jambo hili limekaaje?
Huwa haangalii TV za kimataifa. Anaangalia zaidi taarabu apate maneno ya kumjibu Mdee na Lisu
 
Viroja huwa haviishagi katika nchi hii, kila kukicha linaibuka jambo jipya.
 
Hapo pm umechemsha unaonekana ni mvivu hufuatilii mambo. Speaker naye bogas swala la barick linapaswa kutolewa majibu bungeni, kwa wenzetu limepamba moto sisi tunaleta usanii. Huyu bi kiroboto ni wa hovyo anashindwa kuona mtazamo wa kimataifa jambo hili limekaaje?
Oya! Chunga kauli... Utatakiwa kuweka kwenye maandishi. Bi Kiroboto!!!!!???? Humfaham vzur nini?
 
Chama cha magamba kila kitu hawajui it means wanaogopana ooh mara mafisadi tumewapa siku 90,oooh mara tunamfukuza sitta na mwakyembe mara tunafukuza mapacha 3 yaani zimekua ngonjera tu kweli wanahitajika kupata kikombe cha babu hawa!!
 
Huwa nashangaa sana watu wanaoitetea hii serikali. Kila kitu kwao ni sijui. Wasubiri utulivu tulionao uishe amani iyeyuke kama barafu.
 
mr.pinda ame prove toka mwanzo kuwa uwezo wake wa ku-respond hoja nzito ni mdogo.uzoefu wake wa kukaa ikulu zaidi ya miaka 20 haujamsaidia chochote.staili yake ya kujibu maswali(jamani watanzania style)inaonyesha kuwa watanzania ni watu wasiojua mambo na wanaoridhika na majibu mepesi hivyo siku zote amekuwa mtu wa kubabaisha tu na kutegemea kulindwa na spika ambaye pia ni dhaifu kama yeye.kwa bahati mbaya sana kwao,watanzania sasa wameamka na wanajua kinachoendelea ndio maana wanaibuka na hoja nzito ambazo zinawaacha vinywa wazi.akishindwa kabisa anaamua kulia ili watu wamuhurumie.this time hakuna huruma!watalia wote,kuanzia spika...................
 
Back
Top Bottom