Serikali yaamua kubana matumizi; Mbowe kashinda hoja

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Hatimaye serikali imeafiki malalamiko ya kambi ya upinzani juu ya kupunguza kubana matumizi baada ya kupitishwa azimio katika baraza la mawaziri linalowataka mawaziri wote wanapoelekea bungeni kupanda mabasi maalum tu na si kila mmoja kuondoka na mkoko wake pia na maofisa wote na wakuu wa idara yote nao imeamuliwa kuwa watakuwa wanaenda bungeni kwa mabasi maalum maana wakati wa bajeti imegundulika karibu magari yote wizarani yamehamia dodoma!taarifa rasmi itatolewa na pinda mara atakaporejea bungeni. Source bbc
 
upeo wao wa kufikiri ni finyu. Kilichowafanya wabwabwaje pale mjengoni kutetea hii ishu ilikuwa nini? au ndiyo habari za kiintelijesia kuwa wasipofanya hivyo 2015 mambo magumu? kama hii ni kweli basi Chadema ndiyo inayoongoza nchi maana kila linalofanywa na magamba ni copy and paste ya sera za CDM.
 
Mpaka Tamko rasmi litoke hicho bado kimeo. PINDA ANENE KINAGA UBAGA. Magari yote kwenda bungeni kana kwamba Wizarani kunakuwa hakuna watumishi sio uadilifu wala utendaji mzuri

\\
Hatimaye serikali imeafiki malalamiko ya kambi ya upinzani juu ya kupunguza kubana matumizi baada ya kupitishwa azimio katika baraza la mawaziri linalowataka mawaziri wote wanapoelekea bungeni kupanda mabasi maalum tu na si kila mmoja kuondoka na mkoko wake pia na maofisa wote na wakuu wa idara yote nao imeamuliwa kuwa watakuwa wanaenda bungeni kwa mabasi maalum maana wakati wa bajeti imegundulika karibu magari yote wizarani yamehamia dodoma!taarifa rasmi itatolewa na pinda mara atakaporejea bungeni. Source bbc
 
Sasa hiyo inahusiana nini na Mbowe? jamaa kwa kudandia, hamuwachi.
Hata mimi kichwa cha habari kimenichanganya, maana sioni jinsi Mbowe anavyoingia hapa. Mwandishi wa thread hii angeeleweka vema kama angeandika " Serikali Yasalimu Amri".
 
Good job Mbowe na Chadema kama hii ni kweli basi cdm nyie kweli watanzania wa kweli.

ccm kifo chenu bado kinatusumbua kidogo tu. We are almost there
 
Mimi bado natilia shaka, kuna hatari ya kutengeneza kitu kingine kibovu cha ufisadi mpya. Mabasi maalumu ndio nin? Umaalum wake ni nin sasa? Hovyo kweli.
 
well done, waendelee kuwa wasikivu hivyo hivyo mpaka watakapoondoka madarakan mwaka 2015
 
Lazima tuwe wakweli! Heading ya hii thread haiendani na habari yake. Mwandishi inabidi next tym ahakikishe content inaendana na heading yake.
Kuhusu kauli ya Pinda, ccm hawana jipya tena, wanatekeleza matakwa ya cdm wakidhani watawa please wananchi but they are very late just like fire & resque team. Their work starts baada ya moto kulipuka!
 
mpaka ifike 2015 watakuwa hawataji tena ilani ya chama cha magamba maana hata haitumiki tena! Big up cdm keep up the pressure mpaka watakapoingia shimoni 2015.
 
Back
Top Bottom