Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku kusafirisha mchele kuja bara

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar SMZ imepiga marufuku usafirishaji wa mchele toka visiwani Zanzibar kuja bara hii imekuja mara baada ya aerikali ya SMZ kuondoa kodi katika bidhaa hiyo:

My concern

Hivi nasi kwa nini Watanganyika tusifanye kama wao hatuna cha kupoteza wao ndo watakufa njaa jamani haya ni matusi kwa Watanganyika
 
Wana njaa hao zaid ya bara,,,mchele wao wanaokula aidha unatoka bara au unatoka ng'ambo,,,,,
 
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar SMZ imepiga marufuku usafirishaji wa mchele toka visiwani Zanzibar kuja bara hii imekuja mara baada ya aerikali ya SMZ kuondoa kodi katika bidhaa hiyo:

My concern

Hivi nasi kwa nini Watanganyika tusifanye kama wao hatuna cha kupoteza wao ndo watakufa njaa jamani haya ni matusi kwa Watanganyika

lengo la SMZ siyo kukomoa bara bali kulimlinda mnzazibari kutokana na bei kubwa ya mchele ndio maana kuondoa kodi biidha hii muhimu. Badala ya kupiga moyowe shinikiza serikali ya "bara" kuondoo kodi katika bidhaa ya mchele kulinda wabongo kutokana bei mbaya ya mchele. Jibu la Mheshimiwa Pinda kwa hili/ oh hatuwezi kupunguza ushuru maana tunalinda maslahi ya mkulima wa mpunga, kule kyela, ifakara, malinyi, mpanda,shinyanga etc.
 
Zanzibar maisha ni magumu sana hasa upande wa Vyakula, Bei iko juu sana, na huu mchele wanao piga marufuku si kwamba wanalima utakua ni wa Thailand na pakstan ambao huku Bara wala hauna ishu kabisa, ILA HILI LA KUPIGA MARUFUKU KUSAFIRISHA KUJA BARA SI SAHIHI KAISA, NA INGEKUWA NI BARA WAMEPIGA MARUFUKU HAPO UNGESIKIA MIJADALA YA KUTOSHA HUKO, UNGESIKIA
 
Sasa nasi tufunge mipaka yetu kwa bidhaa kama hizo zisiende huko wao si ndo tunawalisha sisi
 
Zanzibar maisha ni magumu sana hasa upande wa Vyakula, Bei iko juu sana, na huu mchele wanao piga marufuku si kwamba wanalima utakua ni wa Thailand na pakstan ambao huku Bara wala hauna ishu kabisa, ILA HILI LA KUPIGA MARUFUKU KUSAFIRISHA KUJA BARA SI SAHIHI KAISA, NA INGEKUWA NI BARA WAMEPIGA MARUFUKU HAPO UNGESIKIA MIJADALA YA KUTOSHA HUKO, UNGESIKIA
nilishangaa supermarket moja wanauza basmat bei poa hivyo, nimepata jibu !
 
Watanganyika kwa kujifagilia, utadhani hawana dhiki na njaa kali. Vichekesho kweli!!!
 
nyinyi ndugu zetu wa Tanganyika vipi msilete fikra mbaya kwa hili hii hatua imechukuliwa kulete urahisi wa bidhaa muhimu zanzibar kwa wanyonge, mlilotakiwa kufanya ni kuishindikiza serekali yenu kufuata hatua kama hii ili yaje maisha bora mliyoahidiwa kwenye uchanguzi......kukumbu zangu hili ni jambo moja ambalo UAMSHO wamekuwa wakilisema sana....
''ZANZIBAR YENYE AMANI MAENDELEO YANAKUJA KWA KASI YA AJABU''
 
Hii ni kudhibiti mfumko wa bei na pia wafanyabiashara ,kwani kule zenji sukari na mchele wamepunguza ushuru ,sasa hawa wa bara wanaweza kupitisha mchele na sukari kule na kukwepa ushuru kirahisi.......Sioni ni kuwa jambo la kupigia kelele, tunaweza kumwambia Pinda ashushe pia ushuru !!!!
tutizame jambo kwa undani.
 
mi naomba tuache kuwapelekea umeme...watafute wa kwao..kuna sehemu nyingi hapa bara hakuna umeme ni giza tupu, tunawapa services nyingi tu hawa watu alafu shukrani yao ni kututukana kila siku
 
Huku bara huo mchele wanapikiaga vitumbua tu hauna ishu. Hata maskini wa bara unawashinda kula! Hata kwenye shughuli huwezi upika.
 
sijaona ubaya kwenye hili. Wanaosema tufunge mipaka kuwakomoa smz nadhan kunaktu wamesahau...kama ndvyo kwa zanzbar, hapa kwetu tutafungiana mipaka ya mikoa mingap? Mbona kawaida hata kwa mikoa kuzuia chakula kusafrshwa nje ya mkoa? TUFIKIRIE TENA KABLA YA KUWAHUKUMU SMZ. ni mawazo tu.
 
Huku bara huo mchele wanapikiaga vitumbua tu hauna ishu. Hata maskini wa bara unawashinda kula! Hata kwenye shughuli huwezi upika.

hahahaaaaa,,,,,kaazi kweli kweli,,,,ina maana hao vibopa wa zenj ndo hula chenga ambazo huku bara wanapikia vitumbua????achen wazenj wang'ang'anie kuish bara kama akina VUAI NAHODHA AKA KIBERAAAAA
 
Back
Top Bottom