Serikali ya Zanzibar wafikiria upya kuhusu ishu ya mafuta...

hawa wazenji baraza lao halijielewi bado,si juzi tu walikua wanaunga mkono uamsho na bwana raza akaongea hadi povu likamtoka kwamba muungano unawanyonya!sa iweje wajadili vipengele vya muungano kama muungano hawautaki?
 
hawa wazenji baraza lao halijielewi bado,si juzi tu walikua wanaunga mkono uamsho na bwana raza akaongea hadi povu likamtoka kwamba muungano unawanyonya!sa iweje wajadili vipengele vya muungano kama muungano hawautaki?
kama hujui ata kinachjadiliwa ni heri kukaa kimya.
 
Hizo ni propaganda tu.
Sisi wazenji msimamo wetu uko palepale, muungano hatuutaki,
tumechoka na nyinyi ****** ***** kua hamna faida bali kutukandamiza tu,
mtuwache tupumue
uamsho mpango mzima katika kuitetea jamhuri ya watu wa znz
 
zanzibar wabakie na mafuta yao na bara wabakie na yao kupata 3% ya madini ni funzo tosha sitashaangaa na mafuta wakipata 0.5%
Mishahara iko juu sana ukilinganisha na urojo wa znz tuna wazeNji kibao hapa wanatafuta maisha huku wamechoka kupiga DOMO Zenji.
 
Hata kama mafuta na gas yalioko ni kama mfano wa kikombe cha kahawa haijalishi, tunachohitaji ni kutolewa ktk orodha ya mambo ya muungano.

Msituzuge hata kama hakuna mafuta Zanzibar hamuwezi kututeka kimawazo kwa propaganda zenu Watanganyika.

JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA upuuzi na propaganda zenu baadae.

Thamani ya kitu huonekana sana kitu kile kikitoweka. Ninyi mtaiona hii mkijikwanyua kama mnavyopigania. Kumbuka mama anayemjali mtoto wake aliyembeba mgongoni daima hukaza ubeleko kila anapoona mtoto anachezacheza mgongoni ili asije akaanguka na kuumia. Atakapochoshwa na vurugu za kijinga, ataacha ubeleko ufunguke aanguke avunjike kiuno! Cheza na Muungano wewe!
 
Sidhani kama wazenj watabadili msimamo wao kwa propaganda hizi:(

Zanzibar hawatakiwi kughairi kwa propaganda. Wanatakiwa wenyewe kuona namna wanavyonufaika katika mfumo uliopo kuliko nje ya mfumo huu. Yale wanayoyaita kero za Muungano, ni mambo yanayozungumzika na nijuavyo mimi wanavyodekezwa mengi yangekuwa upande wao! Kama hawaoni hilo waende kwao!! Tumechoka kuwabembeleza!
 
They should also convince MRC that the 1963 Lancaster agreement between the British, the Sultan of Zanzibar and the Kenyan government on the coastal strip will not expire next year as the group is claiming.

https://www.jamiiforums.com/kenyan-...a-kukutana-na-kundi-lisilo-halali-la-mrc.html

Baada ya kutafakari sana, naamini siri ya Muungano wa Tz ipo hapo kwenye maandishi mekundu.

Sasa basi mafuta na gesi zimegunduliwa wapi?
Kazi kweli kweli.

Je Tanganyika haina mkataba kama huo wa Kenya?

Najaribu kujiuliza kwa nini CCM wanataka serikali moja?
Ni wazi ukiifuta/ukiipoteza Serikali ambayo Mzee Mwanakijiji anasema inalindwa na serikali ya muungano(Tanganyika) unakuwa umemaliza tatizo la dai la maili 10, 16, 20....

Nashindwa kuuelewa Muungano wa TZ. Wenye majibu sahihi ni CCM tu.
 
Mbona unajichanganya, umesema mafuta na gas bwelele mara wanatafiti hawajaanza kuchimba , wewe una uhakika kuwa znz hakuna mafuta! yaani watu wangekuwa na walau akili wasingetaka hata tone la mafuta liwepo kwetu tutauliwa na hawa wamagharibi ! angalia bara arabu linavochemka sasa hivi kisa mafuta, na huyo alosema mafuta yatakauka anacheksha kweli!

Ile ni zawadi waliyopewa waarabu kutoka kwa Mungu wasaidie waislamu wenzao, na laiti waarabu wangekuwa wanafanya jinsi Mola wao alivowajaalia hayo mafuta sidhani hata kama kuna kiumbe wa kiislamu angelala na njaa, lakini badala yake wanayafuja mafuta pesa wananunu timu za mipira, kualika wana muziki, kuweka na kukomba riba MWENYE EZ MUNGU NDIO ANAWAADHIBU SASA, ile ni adhabu wanayoipokea kwa kuyatumia mafuta ndivo sivyo na wasubiri mengi yataweakuta mpaka watie akili!


Hahaha umenichekesha sana, dhahabu zetu je! Na wanyama ? Almasi mwadui je ?
 
Back
Top Bottom