Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
SERIKALI YA UMOJA ZANZIBAR KUDHOOFISHA UWAJIBIKAJI
Hivi CUF na CCM watakapokaa mezani na kuongoza serikali ya Zanzibar ni nani atakagua utendaji serikalini kama kweli unamhudumia raia mlengwa?
Wanasiasa wanaharakisha kugawana madaraka bila ya kwanza kutafakari mfumo huu wa serikali kwa namna ipi usije kudhoofisha siasa za ushindani bungeni ..
Kenya tumeyaona lakini hakuna tulichojifunza .Hii kweli ni bongo ..