SErikali ya Uingereza yatoa Bil.330 kusaidia Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
SERIKALI ya Uingereza imetoa kiasi cha shilingi Bil.330 kusaidia na kuchangia bajeti ya uchumi ya Tanzania.

Msaada huo ulipokelewa jana na Waziri wea Fedha na Uchumi, Bw. Mustapha Mkulo ofisini kwake jijini Dar es Salam.

Mkolo amesema fedha hizo zimetolewa na Serikali hiyo kwa ajili ya kusaidia bajeti ya uchumi kwa ujumla.

Akikabidhi fedha hizo kwa waziri Mkulo, Darren Welch amesema kuwa fedha hizo zimetolewa kwa lengo la kuinua bajeti hiyo ili kuweza kusaidia wananchi wa Tanzania.

Amesema kuwa lengo kuu la kutoa fedha hizo ni kuinua mpango wa kutokomeza na Kupunguza Umasikini Tanzania [MKUKUTA]

Mkulo amesema mbali na Uingereza tayari Tanzania imeshapokea msaada kutoka nchi ya Denmark, Swazlanda na nyingine nyingi ili kuisaidia bajeti ya uchumi ya nchini.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=2724266&&Cat=1
 
Back
Top Bottom