Mzee Dogo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 400
- 140
Baada ya waziri wa mambo ya nje wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitolea maneno ya dharau na shutuma nchi ya uingereza juu ya sakati la fedha za rejesho la rada, nchi hiyo inajiandaa kujibu mashambulizi kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kufunga ofisi zake nchini humo. Kazi kwenu watz!