Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,353
- 32,991
Katika kutekeleza kwa vitendo sera yake ya diplomasia ya uchumi serikali ya Tanzania imesema kuwa imewekeza kwenye majengo huko USA ambapo kwa sasa majengo hayo yanapangishwa na serikali inapata USD 250,000/- kwa mwaka.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya habari chanel ten leo saa moja jioni.
Tuipongeze serikali yetu jamani kwa mbinu hizi bunifu za uwekezaji.....teh teh teh......
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya habari chanel ten leo saa moja jioni.
Tuipongeze serikali yetu jamani kwa mbinu hizi bunifu za uwekezaji.....teh teh teh......