Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
The EastAfrican newspaper has been banned from circulation in Tanzania, 20 years after it was launched to cover the region.

According to a letter sent to The EastAfrican bureau chief in Tanzania, the decision was apparently taken because the paper "has been circulating in the country without having registration, contrary to section 6 of the Newspaper Act number 3 of 1976".

Reacting to the ban, the management of the Nation Media Group, which owns The EastAfrican, described the move as surprising and unwarranted.

In a letter dated January 21, 2015 the weekly newspaper was directed to immediately stop publishing, printing and circulating in Tanzania ''until it has officially been registered by Registrar of Newspaper, Tanzania Information Services''.

Before the letter was issued, the newspaper's Bureau Chief, Christopher Kidanka, was on Wednesday summoned and interrogated by the Director of Information Services, who also doubles as the Government's spokesman, Mr Assa Mwambene.

DISCONTENT WITH REPORTING

During the session, the government expressed discontent with the newspaper's reporting and analysis (including the opinion pieces it publishes).

Mr Mwambene accused it of having a negative agenda against Tanzania.

He singled out a recent opinion that criticised the Dar es Salaam administration's stance on Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) rebels in the Democratic Republic of Congo as a case in point.

Mr Mwambene also took exception to the cartoon in the current issue of The EastAfrican, that he said demonstrated bad taste and disrespect to the person and office of the president.

reacting on the ban, Nation Media Group Chairman Wilfred Kiboro said the excuse given by the Tanzanian government was surprising because the newspaper has been circulating in the country for 20 years.

"Surely they can't just wake up now and declare us illegal. If it was an issue of regularising files, that does not require such a draconian measure of banning a newspaper," he said.

REASON 'LIES ELSEWHERE'

He said that the real reason "lies elsewhere" and could only be related to the firm stand that the newspaper has taken on reporting on corruption, pilferage and inadequate delivery of services to the people of East Africa.

"Last year, the same government shut down our other publication – Mwananchi –for two weeks for reasons that have never been made clear.

"We can only assume that this decision is in the same vein and demand now, as we did then, that such unfair and undemocratic actions are what undermine our governments' claims to being democratic, believing in press freedom and to being pro-business," he said.

Mr Kiboro added that the media group's editorial policies were explicit on its independence, which he said would continue to guide the newspaper's reporting at all times.

"We know that there are instances we have erred in judgement and we have been quick to apologise, like in the case of the cartoon in question.

"Such mistakes however, can never justify a ban because banning is an option (which) only unaccountable dictatorships apply," he said.

He said that he hoped that the Tanzanian government, in keeping with its avowed commitment to free press and support for democratic ideals, will speedily allow The EastAfrican back in circulation.

The Nation Media Group, through its subsidiary Mwananchi Communications Ltd, also published the Mwananchi, the Citizen and the Mwanaspoti newspapers in Tanzania.

Source:
Daily Nation
 
Ni kweri lilikuwa likifichua maovu bila kificho, Kama lilikuwa halijasajiliwa hapa Tanzania lazima lifuate sheria za nchi. Ila cha kustaajabisha iweje liwepo mitaani kwa karibu miaka 20 leo lijekufungiwa kisa kikatuni cha Kikwete?
 
Maccm na serikali yao chakaramu yanaweweseka tu,hizo zingine mbwembwe tu na wenye akili tunajua ni kwa sababu ya ESCROW saga tu!
 
Ni kweri lilikuwa likifichua maovu bila kificho, Kama lilikuwa halijasajiliwa hapa Tanzania lazima lifuate sheria za nchi. Ila cha kustaajabisha iweje liwepo mitaani kwa karibu miaka 20 leo lijekufungiwa kisa kikatuni cha Kikwete?

Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.
 
Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.
kama hujui kitu nyamaza usilete ubongo wako kama nukta cello
 
tuache ushabiki haiwezekani gazeti likachapishwa miaka nenda rudi leo hii ukakurupuka na kuiambia umma kuwa halijasajiliwa huu ni upuuzi. registrar alikuwa wapi? kama hilo lipo basi yy ndiye awe wa kwanza kuwajibika na hii tabia ya kuwaelekeza wandishi cha kiandika ikome. uko wapi uhuru wa vyombo vya habari? tusiogope kukosolewa na wanahabari!
 
Mengi anashindna na serikali haya sasa matokeo hayo
Kuna watu mna aleji na Mengi kweli, sijaelewa Mengi kaingiaje hapo, hili gazeti halina uhusiano wowote na Mmachame wa watu, producer na mmiliki wake ni Mkenye.

Anyway, najiuliza tu, gazeti limeanza kusambazwa since Mkapa anaingia madarakani mwaka 1995, serikali imewahi kufungia magazeti kama Majira, Sanifu, Tingisha, Komesha n.k kwasababu mbalimbali, how comes muda wote huo hili gazeti liliendelea kutoka na kusambazwa nchini bila usajiri?

Serikali wawe wakweli, waseme tu kosa la The East African ni nini, wanaweza kwenda kuomba usajiri hata leo lakini kwa vile wana makosa ambayo serikali haitaki kuyaweka wazi then hata huo usajiri hawatapewa!

Semeni makosa yao ili kama kujirekebisha wafanye hivyo; ni ujinga kulifungia gazeti la nje ya nchi eti lisiingie nchini while huko kwao linaendelea kutoka na unajua lipo kwenye internet, utafiti mdogo tu ulihitajika hapa kuona hiyo decision haiku sawa, wengi wanao nunua magazeti ya Kingereza wana access na internet, sasa kufungia sio suruhisho, tuache kufanya maamuzi ya Enzi za ujima!
 
hawajasajiliwa, sawa, lakini mhariri kahojiwa vitu tofauti

Uamuzi ni kuwa gazeti halijasajiliwa kisheria.Lisajiliwe.Hayo mengine mtu yeyote mtunga uongo aweza tunga hata akasema alisema nakufungia kisa tuligombea mwanamke bar ndio maana kanifungia!!!
 
Back
Top Bottom