Serikali ya mkoa wa Arusha yakimbia mji

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Leo imedhihirika wazi kwamba unyama uliofanywa na CCM kuwaua wenzetu umeendelea kuisuta serikali na hivyo kukosa ujasiri wa kujitokeza hadharani hata tu kutembelea majeruhi pale Mount Meru hospital.

Hali hiyo imeendelea leo wakati wa kuaga miili ya wana ukombozi pale ambapo serikali imeingia tena mitini kuanzia Mkuu wa Mkoa Rc Shirima na mkuu wa Wilaya ya Arusha.

Ni kana kwamba CHADEMA imepewa kuongoza serikali mkoani Arusha leo na ikafanikisha kwa ufanisi mkubwa kuliko hata serikali ya Mafisadi na wauaji. Leo imeonekana kumbe hamna haja ya polisi kwani wao wanaweza kufanya tu shughuli za kusaka majambazi usiku.

Aibu iliyoifanya serikali ya mkoa kutohudhuria mazishi naomba iwasute hivyo hivyo na wafanye maamuzi ya busara ya kujiuzulu kwa wale wahusika wa mauaji ili at least wajisafishe. Ila wasipojisafisha au kuchukua hatua madhubuti itakuwa ngumu mno kuaminika tena mikononi mwa wananchi wa Arusha na hata nchi nzima. Sijajua watatumia sabuni ya namna gani kujisafisha.Waendelee kukaa mafichoni hivyo hivyo na wasijaribu kuitisha vimikutano vyao vya kichovu tena.
Mwanzo wa ukombozi umeshaanza tayari na CCM kwa Arusha imetoweka na hopeful harakati hizi zitaendelea mikoa mingini hadi bendera ya mwisho ya CCM itakapokuwa imeshushwa.
Aluta Continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dhamira zao ziko hai! Zinawasuta zinawauma hadi wanaugua kabisa hadi kutokomea vichakani.
 
Ni kana kwamba CHADEMA imepewa kuongoza serikali mkoani Arusha leo na ikafanikisha kwa ufanisi mkubwa kuliko hata serikali ya Mafisadi na wauaji. Leo imeonekana kumbe hamna haja ya polisi kwani wao wanaweza kufanya tu shughuli za kusaka majambazi usiku.

Aluta Continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hii nimeipenda sana. hata hiyo ya majambazi usiku sijui kama wanaiweza maana mijioga kweli inatafuta wasio na silaha

ukweli usiopingika ni kuwa kuna mtu anaongoza serikali bila wananchi na kuna mtu anaongoza wananchi ila hana serikali
 
sasa leo mkutano ulikuwa mkubwa,hakuna polisi wa ulinzi na mbona sijaona fujo????????????????????????????????? POLISI ninyi na intelejensia zenu za ccm; hamna adabu
 
Kwa kweli polisi wanatakiwa kutuomba msamaha, aibu ya leo waliyopata hata kwenye mabaa waliyozoea kwenda siwaoni. Adhabu waliyopata leo kimawazo bora wangepigwa viboko.
 
sasa kama leo maandamano na mkutano haukulindwa wala kutawanywa na polisi si watakuwa wamekufa watu wengi sana????? si inteligensia ya polisi inasema wasipotumia nguvu watu wanafanya fujo....jamani tujuzeni wamekufa wangapi leo ?????
 
Leo imedhihirika wazi kwamba unyama uliofanywa na CCM kuwaua wenzetu umeendelea kuisuta serikali na hivyo kukosa ujasiri wa kujitokeza hadharani hata tu kutembelea majeruhi pale Mount Meru hospital.

Hali hiyo imeendelea leo wakati wa kuaga miili ya wana ukombozi pale ambapo serikali imeingia tena mitini kuanzia Mkuu wa Mkoa Rc Shirima na mkuu wa Wilaya ya Arusha.

Ni kana kwamba CHADEMA imepewa kuongoza serikali mkoani Arusha leo na ikafanikisha kwa ufanisi mkubwa kuliko hata serikali ya Mafisadi na wauaji. Leo imeonekana kumbe hamna haja ya polisi kwani wao wanaweza kufanya tu shughuli za kusaka majambazi usiku.

Aibu iliyoifanya serikali ya mkoa kutohudhuria mazishi naomba iwasute hivyo hivyo na wafanye maamuzi ya busara ya kujiuzulu kwa wale wahusika wa mauaji ili at least wajisafishe. Ila wasipojisafisha au kuchukua hatua madhubuti itakuwa ngumu mno kuaminika tena mikononi mwa wananchi wa Arusha na hata nchi nzima. Sijajua watatumia sabuni ya namna gani kujisafisha.Waendelee kukaa mafichoni hivyo hivyo na wasijaribu kuitisha vimikutano vyao vya kichovu tena.
Mwanzo wa ukombozi umeshaanza tayari na CCM kwa Arusha imetoweka na hopeful harakati hizi zitaendelea mikoa mingini hadi bendera ya mwisho ya CCM itakapokuwa imeshushwa.
Aluta Continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kukimbia kwao kutasaidia Rais Kikwete anayeongoza akitokea Ikulu kukimbiwa na wananchi, Na Dr. Slaa anayeongoza kutoka kwenye Mioyo ya Wananchi kupendwa zaidi.

Peopleeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!
 
sasa kama leo maandamano na mkutano haukulindwa wala kutawanywa na polisi si watakuwa wamekufa watu wengi sana????? si inteligensia ya polisi inasema wasipotumia nguvu watu wanafanya fujo....jamani tujuzeni wamekufa wangapi leo ?????[/B]

Hata Nzi hajauawa!!!
 
hii nimeipenda sana. hata hiyo ya majambazi usiku sijui kama wanaiweza maana mijioga kweli inatafuta wasio na silaha

ukweli usiopingika ni kuwa kuna mtu anaongoza serikali bila wananchi na kuna mtu anaongoza wananchi ila hana serikali

hii imekaa vizuri sana na imeeleweka na ndio ukweli ulivyo
 
hii nimeipenda sana. hata hiyo ya majambazi usiku sijui kama wanaiweza maana mijioga kweli inatafuta wasio na silaha

ukweli usiopingika ni kuwa
kuna mtu anaongoza serikali bila wananchi na kuna mtu anaongoza wananchi ila hana serikali
Well said serikali bila wananchi sijui wanaongoza
Nani
 
Ni aibu,aibu.aibu na aibu mara milions kwa CCM na POLISI yake kuuwa Watanzania halafu waingie mitini. Aibu imewasuta!

CCM na POLISI wamejidhalilisha na wamejiaibisha kwa namna ambayo hawawezi kujisafisha, lbda tu kama KIWETE,NAHODHA,IGP MWEMA,ADENGENYE PLUS MAKAMBA WAAMUE KUJIUZULU. TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!!!!!!!!!!!

Mungu amewathibitishi Watanzania kuwa CHADEMA NDICHO CHAMA KILICHOTAKIWA KUSHIKA HATAMU ZA UONGOZI WA NCHI HII NA SIYO CCM.
 
Mtutu ndio utakao watoa ccm pale isukanoni.zingine zote ni blaha bla.tume iundwe na vyama pinzani
 
Aibu na hofu imewashika sana, they didnt have guts to come in public maana kama kweli walikuwa wanajiamini wangejitokeza na hata kupewa audience wakati wa kuwaaga mashujaa wetu...lakini thubutu wanajua wamefanya grave mistakes na wanastahili wao adhabu kali ya kuachia ngazi na kujibu mashtaka' though mahakama yenyewe ni fake kama wao
 
Huu ni mwanzo tu wa mwisho wao . . Arusha ni yetu sasa baada ya mafisadi na wauaji kukimbilia kusikojulikana. Nguvu ya umma daima.
 
Back
Top Bottom