Serikali ya Libya yajitokeza Kusaidia Athari Za Mafuriko Kilosa kuwajengea Nyumba 200

jamani kuna mambo ya ajabu,lakini pia yapo ya kushangaza. Hii post yako inanishangaza? Hivi yale mafuriko yalibagua huyu muislam na huyu muanglikana au huyu hafuati dini yoyote? Mm!chuki hufunika busara.
Unaonaje endapo taasisi rasmi za kidini kama vatican na nyinginezo zingetoa misaada hiyo,suala la kueneza uislamu lingekuwepo?
Binadamu yeyote anayepatwa na matatizo ni muhimu wenzake wakamsaidia. Je,umechangia kiasi gani ili kuwanusuru na uislamu ambao kwako inaonekana ni nongwa kubwa?

tatizo ni je, hao waathirika wenyewe watajengewa au nyumba hizo watajengewa wakina yakhe tu? Maana tunajuana waswahili!
 
Duh narekebisha post yangu. Kumbe unaweza kukosea kitu kidogo ukawa quoted wrong. Hakueneza dini bali aliizungumzia dini yake km unakumbukumbu vizuri. Weka alama ya kuuliza pls

Bwa ha ha ..

Kwa hiyo umeamua kukimbia kivuli chako mwenyewe?? lolz..Najua hii ni kawaida ya watu wa dini flani kupindisha ukweli na kuupaka rangi uwongo mpaka umeremete lakini wanasahau kuwa hakuna anayeweza kuhodhi dhamana ya kuubadilisha uwongo kuwa ukweli. Muamar al Qud'dhafi hafichi azma na ndoto yake ya Uislamu kuitawala dunia. Yeye na Ahmedinajad hii ni objective yao. Sasa sina haja kwenda kwenye X-files kukufundisha kuhusu hili, maana it is too futile to me and total waste of time. Ila unaweza endelea kuukana ukweli ikiwa thats make you feel good..its your choice if it suits you.. :D
 
I know this is irrelevant, lakini ni vyema kulisema hili ili tusije tukawaacha baadhi ya watu wasiotaka kujua gravity ya vitu wanavyoviona kwa nje bila kujua undani wake. Agenda ya Muamar al Qud'dhafi ni kueneza Uislamu ili baadae kuanzisha dola ya Kisilamu ulimwenguni, na nashawishika hii ni mojawapo ya strategy, na tumeshaona sarakasi za namna hii nyingi ktk siku za karibuni. Uzuri tu hatujafikia hatua ya kulazimishana kwa upanga, ila maandalizi twayaona. Tuombee Mungu yote iwe kheri bila shari.

Na Wazungu nao wanapo tusaidia wanataka kueneza Ukiristo? kama walivyifanya huko nyuma? amkweli wewe ni irrelevant!

Chamsingi Tanzania tujikamue kupambana na matatizo yetu wenyewe, tupunguze kutegemea misaada sana. Undoa udini wako uwoo! kinachotoka kwa muislam ni haramu kikitoka kwa mkiristo ni halali!! Hivi utakutoka lini huu ujinga?
 
Ni wazi wewe ndiye mjinga tena mpumbavu kabisaaa...

Hoja yangu hawezi kuielewa maana ndio walewale mkiona posts zangu tu hysteria inawapanda. Rudia tena kuisoma uelewe ishu ninazozigusia hapo, kama bado hutoelewa hio ni bahti mbaya umenyimwa 'uoni' na allah labda subiria next life..lolz
 
Sasa kapige magoti vatican wajenge wao nyumba 200 kama unaona Gadafi anamalengo ya kueneza Uislam

Uislam unaenea duniani kote amerika na ulaya kamwe hau-target watu wenye njaa na shida kama ukiristo, uislam unajitosheleza, hausubiri mtu mwenyeshida ndipo u-take advantage.
 
Back
Top Bottom