Serikali ya Korea Kusini imesema ina vikosi ambavyo viko tayari Kumuua Rais wa Korea Kaskazini

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Korea Kusini imesema kuwa tayari ina mpango mkakati wa kumuua Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ulinzi Han Min-koo alipokuwa akijibu swali Bungeni.

Amesema tishio kubwa kwa Korea Kusini na washirika wake wa karibu, Marekani ni Kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un ambaye anapenda kutumia nguvu za kivita na silaha kama njia ya kuonyesha umwamba wake.

Amesema hawana tatizo na nchi ya Korea Kaskazini bali kiongozi wao.

=================================
South Korea has elite troops on standby ready to assassinate Kim Jong Un if the country feels threatened by North Korean nuclear weapons, the country's defense minister revealed this week.

Asked in parliament Wednesday if there was a special forces unit already assembled that could eliminate North Korean leader, Kim Jong Un, Han Min-koo said: "Yes, we do have such a plan. "
"South Korea has a general idea and plan to use precision missile capabilities to target the enemy's facilities in major areas as well as eliminating the enemy's leadership," he added.

Kim Jong Un inspects Farm No. 1116 in an undisclosed location in a photo released September 13, 2016.
It has long been suspected that such a plan was in place but the minister's candid answer surprised some.
"A president would want to have the option," says Daniel Pinkston of Troy University. "... Not presenting that to the president, not training for it and having that capability would be a mistake."

South Korea has intensified its rhetoric against the leadership of North Korea since Pyongyang claimed a successful test of a nuclear warhead on September 9.
This week it tested a new type of high powered rocket engine of the type that could be used for an intercontinental ballistic missile.

'Worst case scenario'
The defense ministry has said it is planning for the worst case scenario and assumed North Korea was ready to conduct a sixth nuclear test.

Earlier this month, Leem Ho Young, Chief Director of Strategic Planning at the Joint Chiefs of Staff, described a new system called the Korea Massive Punishment & Retaliation (KMPR) just hours after North Korea claimed it had tested a nuclear warhead.
It would involve surgical missile attacks, exclusive special warfare units and an ability to strike North Korea's leadership if South Korea feels threatened by nuclear attack.

Meanwhile, North Korea accused the United States of pushing the peninsula to the brink of war after this week's flyover of two US B-1B bombers close to the DMZ or demilitarized zone that separates North and South Korea.

A US military source told CNN this is the closest this type of bomber has ever flown to North Korea.
Pyongyang said it was a "vicious scenario to make a preemptive nuclear strike at the DPRK," according to state-run news agency KCNA.

Source: CNN
 
This young dude, mnyoa panki, mhuni, N. Korea leader ni mpuuzi sana..

Na watakiua hiki...!! Tena kwa spies wa ndani kwake huko huko N. Korea..!!
 
Acha tu wakiue hicho ki dogo.

Wakikiua walau kutakuwepo na fursa ya hao watu kujikomboa.

Sasa hivi wanaishi kama mifugo.

Halafu tokea kiingie madarakani hakijawahi kutoka nje ya nchi yake.

Kimekaa ndani kinajinenepea tu kama nguruwe.

Mkuu NN, katika watu wanaofahamu kujirusha na matanuzi ni haka kajamaa.

Anajua starehe na mambo yote mazuri kutoka nchi za magharibi.

Halafu huyu akiwa mdogo alisoma Switzerland akitumia jina la bandia.

Pia huwa anaenda sana China kwa kutumia body double.

Inasemekana kuna Kim Jong-un kama watano hivi kwa hesabu za mwaka 2016.

Saddam Hussein alikuwa na body double mmoja tu na ambae alimuuza na Saddam mwenyewe akakamatwa na wamarekani, usicheze na dola 100,000

Korea Kaskazini wanaongea propaganga tu, hawawezi kuthubutu kumuua Kim Jong-in.
 
Sadam Hussein alikuwa na body double mmoja tu na ambae alimuuza na akakamatwa na wamarekani, usicheze na dola 100,000

Korea Kaskazini wanaongea propaganga tu, hawawezi kuthubutu kumuua Kim Jong-in.
We umejuaje huwa anaenda China?

Halafu iweje alisomea Uswisi?

NK hakuna shule?
 
We umejuaje huwa anaenda China?

Halafu iweje alisomea Uswisi?

NK hakuna shule?

Ndiyo maana nimetaja body double, kuna maana kubwa hapo.

Ukiwa nazo hizi unawachezea sana wale wanaokuwinda kama Korea Kusini.

Ila katika historia imeelezwa kwamba alisoma Uswiss akiandaliwa na marehemu baba yake.

Halafu, unafahamu kwamba Kim ni rafiki mkubwa wa Dennis Rodman.
 
Mkuu NN, katika watu wanaofahamu kujirusha na matanuzi ni haka kajamaa.

Anajua starehe na mambo yote mazuri kutoka nchi za magharibi.

Halafu huyu akiwa mdogo alisoma Switzerland akitumia jina la bandia.

Pia huwa anaenda sana China kwa kutumia body double.

Inasemekana kuna Kim Jong-un kama watano hivi kwa hesabu za mwaka 2016.

Saddam Hussein alikuwa na body double mmoja tu na ambae alimuuza na Saddam mwenyewe akakamatwa na wamarekani, usicheze na dola 100,000

Korea Kaskazini wanaongea propaganga tu, hawawezi kuthubutu kumuua Kim Jong-in.
Kusoma uswisi ni sawa lakini mpenda bata ni kaka yake ndio maana alikosa uongozi.
 
Acha tu wakiue hicho ki dogo.

Wakikiua walau kutakuwepo na fursa ya hao watu kujikomboa.

Sasa hivi wanaishi kama mifugo.

Halafu tokea kiingie madarakani hakijawahi kutoka nje ya nchi yake.

Kimekaa ndani kinajinenepea tu kama nguruwe.
sikapendi kale kajamaa, its interesting binadamu alivyo na nguvu za kuwa control mind za watu kibao na chenyewe kinazidi kufanya maovu...kishindwe walahi!
 
Acha tu wakiue hicho ki dogo.

Wakikiua walau kutakuwepo na fursa ya hao watu kujikomboa.

Sasa hivi wanaishi kama mifugo.

Halafu tokea kiingie madarakani hakijawahi kutoka nje ya nchi yake.

Kimekaa ndani kinajinenepea tu kama nguruwe.

Mimi nilisoma ripoti moja inasema huyo dogo sio mjinga kama anavyo pretend
na kwa mara ya kwanza chini ya uongozi wake wamemaliza tatizo la njaa
na wana surplus ya vyakula

yuko smart kuliko watu wengi wanavyo mdhania

hata yule mjomba wake alietoa amri auwawe alidhani dogo hajui kitu atampeleka peleka......

sio chizi kama anavyoripotiwa......

unakumbuka jinsi alivyo washughulikia Sony hadi waka shindwa ku release ile movie?
 
Ndiyo maana nimetaja body double, kuna maana kubwa hapo.

Ukiwa nazo hizi unawachezea sana wale wanaokuwinda kama Korea Kusini.

Ila katika historia imeelezwa kwamba alisoma Uswiss akiandaliwa na marehemu baba yake.
Umejuaje ana body doubles?

Au ni conjecture tu?

Halafu kwa nini asomee uswisi?

NK hakuna shule?

Si huwa wanajivunia utaifawao hao...

Au ni maneno ya mdomo tu...
 
Mimi nilisoma ripoti moja inasema huyo dogo sio mjinga kama anavyo pretend
na kwa mara ya kwanza chini ya uongozi wake wamemaliza tatizo la njaa
na wana surplus ya vyakula

yuko smart kuliko watu wengi wanavyo mdhania

hata yule mjomba wake alietoa amri auwawe alidhani dogo hajui kitu atampeleka peleka......

sio chizi kama anavyoripotiwa......

unakumbuka jinsi alivyo washughulikia Sony hadi waka shindwa ku release ile movie?
Kwamba si mpu.mbavu kiasi cha kulianzisha na South korea, hilo nakubali maana ndo utakuwa mwisho wake.

Atatandikwa vibaya mno na kupoteza cheo chake.

Hayo mengine hata kuya authenticate ni vigumu.
 
Kwamba si mpu.mbavu kiasi cha kulianzisha na South korea, hilo nakubali maana ndo utakuwa mwisho wake.

Atatandikwa vibaya mno na kupoteza cheo chake.

Hayo mengine hata kuya authenticate ni vigumu.

La Sony unalikumbuka vizuri lakini?
dogo sio mjinga kiwango cha kuanzisha tu vita
halafu anaipenda sana USA unakumbuka kuna watu wali arrange ziara ya Rodman kule
akaenda hadi uwanjani......ni crazy fan wa Chicago Bulls....
 
Back
Top Bottom