Elections 2010 Serikali ya Kikwete Yaidhinisha wizi wa Tanzanite Kipindi cha uchaguzi

kingwipa1

JF-Expert Member
Jul 2, 2008
334
51
Ngeleja%2830%29.jpg

Energy and Minerals minister, William Ngeleja

Bermuda-based TanzaniteOne Ltd. says it had been granted a "staged" exemption from Tanzania's prohibition on exports of rough tanzanite larger than five carats, or one gramme, agencies report.

The company will be given a moratorium allowing for 100 percent export of its production, including stones in excess of five carats until December 31, TanzaniteOne said in a statement yesterday.

The government also indicated the company will be given a "rollout period" to enable expansion of its local cutting and polishing facilities in Tanzania, TanzaniteOne said.

The rollout will be staggered to guarantee a consistent supply of gemstones and ensure no backlog of high value, uncut stones, it added, without elaborating on the period.

In April, this year, the government announced a ban of exportation of unprocessed Tanzanite in a bid to increase the contribution of the gemstone to the economy.

Energy and Minerals minister, William Ngeleja told the Parliament during discussion of the new mining bill that the government had gazetted the ban which is being processed by the government printer.

Ngeleja also said the government had since declared Mererani a controlled area and that it would soon be fenced to prohibit exportation of the gemstone illegally from the area.

"The only problem is lack of money for fencing the area," Ngeleja said.
He also said his ministry had taken into account the establishment of Independent Mining Tribunal and Mining Development Fund.

He said the government will use its institutions, the State Mining Corporation (Stamico) and the National Development Corporation in implementing mining activities.

"We shall collaborate with Stamico and NDC to implement this law," he said.



SOURCE: THE GUARDIAN

My Take:
Chini ya sheria iliyopitishwa na bunge, serikali ilizuia usafirishwaji wa madini ya vito yenye uzito juu ya gramu moja bila kukatwa. Je, ni vigezo gani vimetumika kupindisha sheria hii?
Mpungwe asipozibitiwa atauza nchi kwa kuwasaliti watanzania ambao ndio wamiliki wa nyara hizo zinazoelekea kuisha bila serikali kufaidi chochote. TANZANITE ni kwa masilahi ya nani?
 
Kapewa hela za kampeni kwani nasikia jimboni kwake yuko hali ngumu. Hii ndiyo CCM!!!!
 
My Take:
Chini ya sheria iliyopitishwa na bunge, serikali ilizuia usafirishwaji wa madini ya vito yenye uzito juu ya gramu moja bila kukatwa. Je, ni vigezo gani vimetumika kupindisha sheria hii?
Mpungwe asipozibitiwa atauza nchi kwa kuwasaliti watanzania ambao ndio wamiliki wa nyara hizo zinazoelekea kuisha bila serikali kufaidi chochote. TANZANITE ni kwa masilahi ya nani?



Usije kuta yakawa kama yale yale tu ya kusaini mkataba wa gharama za uchaguzi sikuile IKULU na kesho yake kumbe wakakuta vipengere viliongezwa kwa maslahi yao na ndicho kinachotokea kwa mkataba wa madini hapo watakuwa wameongeza kuwa hataivyo wanaweza safirisha chembe chembe chache za mawe machafu nje ya nchi kumbe ndio humo humo yanapitia, viongozi wetu hawa na filimeeeee mmmh mpaka sijui Mtutu utumike ndio wataona haya kwa kuwanyang'anya watanzania mali zao?
 
Serikali ya sisiem itaamka wakati Tanzania imeishiwa kila kitu. Hata watoto watatucheka tutakapolia kuwa hatuna kitu ilhali mali tumewaachia makaburu na weupe wajibebee.
 
jee una uhakika na unachosema au unakurupuka tu kuanzisha maada

dadakusinzia nimekusikia.

Kumbuka kuwa hapa JF hatukurupuki na tambua kuwa mimi binafsi nina data zaidi ya hizo za the Guardian. dogo nenda shule ufute ujinga kwanza.
 
Back
Top Bottom