Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Na kama tunaanza kuwaburuza majaji ndio tunataka tujifunze nini?Hii itakuwa ni nchi isiyofuata sheria maana kama kuna maslahi nayapigania hata kama ni kinyume na sheria, ntawaamuru majaji wawe mabubu.
Come on, kuna vitu sasa tuvivuke maana tumepevuka. Tuache hizi hadithi za kurudi nyuma ya zaidi ya tulipofika kwa ajiri ya interest ya watu wachache tu.
Kwanini wagombea binafsi wanaogopwa?
Come on, kuna vitu sasa tuvivuke maana tumepevuka. Tuache hizi hadithi za kurudi nyuma ya zaidi ya tulipofika kwa ajiri ya interest ya watu wachache tu.
Kwanini wagombea binafsi wanaogopwa?