Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani

Mkwele

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
206
24
Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani.

1. Uchumi wa nchi kuyumba sana.

2. Shilingi ya TZ kupoteza thamani zaidi dhidi ya US dollar.

3. Mfumuko wa bei ambao haujawahi kutokea.

4. Udini kushamiri.

5. Ufisadi kuongezeka zaidi.

6. Ongezea sababu nyingine zilizosahaulika........

Wanajf ni mtazamo tu, naomba tusitafutane.
 
7.mfanyakazi kutothaminiwa
8.wizi kuonekana ni ujaja ndani ya jamii.Angalia akina lowasa wanavyotamba na akina RA
 
vibwagizo, vina na nyimbo zilezile ungebadilisha na chorus basi tumechoka wimbo huu umeimbwa miaka sita sasa
 
hivi huyu bwana JK hana hata zuri moja au yeye ana mabaya tuuuuuuuuuuuuuuu. Hata kama ni kukosoana basi hii aina mpya ya kuzungumzia mabaya tu ya binadamu chimbuko lake likiwa Tanzania
 
Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani.

1. Uchumi wa nchi kuyumba sana.

Uchumi wa dunia umeyumba,sio Tanzania peke yake.Fuatilia mambo na tumia ubongo kufikiri.

2. Shilingi ya TZ kupoteza thamani zaidi dhidi ya US dollar.

Shilingi yetu inazidi kuimarika kila siku dhidi ya dollar.kama hujui kaa kimya

3. Mfumuko wa bei ambao haujawahi kutokea.

Mfumuko wa bei unatokana na uchumi wa dunia kuyumba na umetuathiri mpaka sisi,kumbuka dunia ni kijiji siku hizi

4. Udini kushamiri.

Hakuna udini zaidi yako wewe unaeuleta hapa.


5. Ufisadi kuongezeka zaidi.

Mafisadi wanazidi pukutika,tazama lowassa anavyohaha kujisafisha makanisani,kazi ya Kikwete hiyo

6. Ongezea sababu nyingine zilizosahaulika........

Wanajf ni mtazamo tu, naomba tusitafutane.

Ushauri.
Jitahidi kufuatilia yanayotokea dunia nzima ndio utaelewa vyema.
Usipende kukurupuka na kurusha lawama waati hujafanya utafiti wa kutosha.
OTIS
 
Back
Top Bottom