Serikali ya Kikwete hoi kifedha: Wafanyakazi wakosa mishahara

Is this true JFers? If at all this is true, there must be a more serious problem boiling in the treasury than the easily perceived one by the Tanzanians especially the non-economists! Can we as Tanzanians do something collectively to do away with all these sources of unnecessary embarrassment? Tanzania is endowed with lots of resources be them human, natural, intangible and tangible resources, why should only a handful of us embarass us this much? Are we really all fools as the current administrative cadre in thsi country is assuming us to be? Of course not, only that a few of us are diverting much of the national resources into their personal gains, and here we as just onlookers! Shame on them!!!!!!
 
Wanafunzi wa UDOM hamna kitu pale. Hawa si ndio walikuwa NEC wakiimba eti wapinzani ni mavuvuzela, tena mbele ya Lipumba? Kama wamenyimwa hela waache tu wafe, ndo watajua CCM ni kitu gani.

Najaribu kujiuliza juu ya trend ya wanafunzi wa chuo hiki. Nimewaona UDOM wakitofautiana sana na vyuo Vikuu vingine nchini. Kuna matendo wanayafanya lakini siyasikii ktk vyuo vikuu vingine vya serikali.

Mara kuzungusha fomu za JK, mara kufungua matawi ya CCM, mara kugongana kupata kiongozi wao kwa sababu ya CCM vs ... upinzani, mara UV-CCM inawachota akili, nk.

Sitaki kuwahukumu lakini nakuwa na wasiwasi na elimu yao. Ingawa nimeshawahi kupata taarifa isiyo rasmi kuhusu ubora wao kuwa Duni na hasa hawa wanaomaliza mwaka huu kutokana na jinsi walivyoanza, nadhani tusubiri watakapoingia ktk soko la ajira.

Itanisikitisha sana kama degrii zao zitakuwa ni za shukrani ya kisiasa.
 
Katika kinachooonekana kuwa serikali ipo hoi kifedha kwa mara ya kwanza tangu tatizo la kuchelewesha mishahara kuwa historia nchi hii ..watumishi wa uma wameanza kupigwa kalenda kupewa mishahara katika tukio la karibuni hata polisi walilimwa barua za uvumilivu ....zikiwataka wawe wavumilivu kwa mishahara kuchelewa ...

Hali hiyo imeendelea kuwa tete hata sasa ambapo mishahara ya watumishi wa umma nayo imeanza kuchelewa....nadhani kwa kuwa humu watumishi tupo....tunaweza kuchangia vema hoja hii...

Philemon, mwezi huu umeona tofauti ilivyo? Mshahara iko kwa account on time. Sijakuona humu kulalamika!
 
Trumalize kwanza kampeni jamani tusichanganyane tafadhari.........naongea kwa niaba ya kikwete......lengo letu ni kukusanya 50billion za kampeni na sasa tumepata 35billion only kwa hiyo nimewakopa nyie wafanyakazi ili nikipata kapesa furani tutalipa tumishahara twenu.................jamani wafanyakazi najua nyinyi wote ni wana-ccm wazuri kwahiyo siamini km mtashindwa kuwa wavumilivu kwani tuko pamoja na jambo lililoko mbele ye4tu sisi wana-ccm ni kubwa lahiotaji kujinyima kama mimi nilivyofanya mpaka nikaanguka pale jangwa kwani niulikuwa sijala bado na hii yote ni harakati za kupunguza matumizi ya kawaida na kujali matumizi ya kampeni zetu...............kwani nyinyi hamtaki ushindi wa kishindo jamani?
-polisi hapo mbele mtanipaaaaaa........ndiyoooo
-waalimu huko nyuma vipiiiii................poaaaaaaa..umepata babaaaaaa
-madaktari na manesi hapo katikati shwari????????.....................shwariiiiii handsome wetu
-basi kuweni wapole japo kura zenu sio muhimu sana na najua mtanipigia tu kwani na nyie mnajua niliposema vile nilitaka tu kuwahadaa watz kuwa nina msimamo kwa hiyo tuko pamoja lakini ''uvumilivu kwanza''' si mnajua lkial kitu saaizi kitakuwa ''zaidi''zaidi''zaidi;''''''
 
Tena naombea mishahara hiyo ichelewe sana au ikosekane kabisa ili tuue tembo kwa ubua!
 
Haujaongea kitu chochote cha point sasa. Taarifa niliyokupa isome kwa makini uielewe. This is a new financial year. Na hii haijaanza mwaka huu wala mwaka jana. Miaka yote. Hivyo ndivyo ilivyo na hakuna tofauti katika maelezo yangu.
usihalalishe substandard weweeee

Yaani bila haya unakuja kusema mishahara kuchelewa wakati wa kufunga mwaka ni sawa, hivi wewe una akili timamu kweli kuunga mkono defficiencies?

kama inajulikana kwamba mishahara huchelewa kutoka during that period kwanini wasiweke mechanism ya kuaddress huo upungufu??

watu kama we ndio ambao wakiambiwa per diem hakuna wanawza kujiua

Your post was rather insensitive and uncalled for
 
hahahahahahahha! Kumbe milikuwa wengi ehhh! Tujadili hiyo mechanism uliyonayo kichwani. Mimi na-respond kuwa Serikali ya Kikwete haina fedha. Bila shaka ulisoma thread ulielewa vema na kwa makini.
 
je ucheweleshaji huu ulihusu mishahara ya wabunge, mawaziri na makatibu wakuu au ulihusu walalahoi peke yao?
 
Hata hicho kima cha chini cha 235,000 sio kweli, hawajaongeza chochote, mshahara ni kima kile kile cha 135,000. Alichotangaza mzee wa kaya a.k.a mkwere. Watanzania mwaka huu tubadilike.
 
Najaribu kujiuliza juu ya trend ya wanafunzi wa chuo hiki. Nimewaona UDOM wakitofautiana sana na vyuo Vikuu vingine nchini. Kuna matendo wanayafanya lakini siyasikii ktk vyuo vikuu vingine vya serikali.

Mara kuzungusha fomu za JK, mara kufungua matawi ya CCM, mara kugongana kupata kiongozi wao kwa sababu ya CCM vs ... upinzani, mara UV-CCM inawachota akili, nk.

Sitaki kuwahukumu lakini nakuwa na wasiwasi na elimu yao. Ingawa nimeshawahi kupata taarifa isiyo rasmi kuhusu ubora wao kuwa Duni na hasa hawa wanaomaliza mwaka huu kutokana na jinsi walivyoanza, nadhani tusubiri watakapoingia ktk soko la ajira.

Itanisikitisha sana kama degrii zao zitakuwa ni za shukrani ya kisiasa.

HATA MIMI HUWA NAWASHANGAA SANA HAWA VIJANA WA UDOM. Nafikiri there is something wrong with them.

Mimi nafikiri hawa vijana wa UDOM wanafikiri kuwa wapo pale kwa ajili ya JK may be bila yeye wasingepata elimu ya juu. Kwa hiyo sasa wanalipa fadhira. Ila kama kweli mawazo yao ni haoyo then wanasikitisha unless pass zao form six hazikuwa nzuri kucompete na wenzao waliokwenda kwenye vyuo vingine.
 
Pesa yooote Hazina imekwanguliwa kuFinance harakati za Kikwete kuelekea Ikulu.Gazeti la mwananchi la jana linareport kutokuwepo kwa Wafanyakazi Ikulu Dsm tangu mkuu aanze kampeni , woote wamepelekwa Mikoani kusaidia harakati za mkuu. Madereva woote wamsafala wake, na wanaccm wengine ni madereva wa Ikulu Dar, na wanailpwa mamilioni kwa kazi hiyo, na kwa mujibu wa gazeti hilo Serikali kuu ndio mfadhili wa kampeni za Kikwete.
 
Mimi na familia yangu tulimnyima kura 2005 na tutamnyima tena mwaka huu. Nina wapiga kura wawili zaidi wameongezeka baada ya kushindwa kupiga kura 2005 kutokana na kuwa na umri mdogo. Naushawishi pia ukoo wangu wote wamnyime kura mtu huyu kwa kuwa hafai!
 
Back
Top Bottom