Hivi ni kwanini watu wa pwani ya Kenya wanataka kujitenga?Ni kweli kuwa serikali ya Nairobi inaonyesha namna yeyote ya kutowajali? Nini hasa chanzo cha hili vuguvugu la kutaka kujitenga kutoka Kenya?
Mkuu,
....sio watu wa Pwani wanaotaka kujitenga bali hawa MRC nd'o wanaotilia shinikizo hio ishu.
Na kwanini watokee hao watu wanaojiita MRC na kutaka kujitenga?
Hao MRC wana-agenda zao za udini mkuu mwenzangu. Usione wanapiga kelele ya kujitenga ukadhani kua ni
Pwani yote ya Kenya maana Pwani ni kubwa mno.
Waislamu fikirieni upya munapotiliana mikataba na watu wasiokuwa nyinyi.Huwa wanavuta muda tu kukukalieni juu.Hawajali mikataba kabisa na wala hawaiulizi tena hapo wakishajiimarisha dhidi yenu.Mkiweza pigananeni tu mmalizike mmoja mmoja ndipo watakaobaki wataheshimika.
MRC leader Omar Mwamnuadzi being supported by youths at the Mombasa law courts after his on October 15, 2012. Photo | LABAN WALLOGA
MRC leader Omar Mwamnuadzi is assisted by his friends inside the Mombasa law courts after his arrest on October 15, 2012. Photo|LABAN WALLOGA
Some of the 38 youths arrested with MRC leader Omar Mwamnuadzi at the Mombasa law courts on October 15, 2012. Photo|LABAN WALLOGA
Officers at the Mombasa law courts cell where the MRC leader Omar Mwamnuadzi and other members were held on October 15, 2012. Photo|LABAN WALLOGA
Waislamu fikirieni upya munapotiliana mikataba na watu wasiokuwa nyinyi.Huwa wanavuta muda tu kukukalieni juu.Hawajali mikataba kabisa na wala hawaiulizi tena hapo wakishajiimarisha dhidi yenu.Mkiweza pigananeni tu mmalizike mmoja mmoja ndipo watakaobaki wataheshimika.
Uislamu umejaa historia ya matukio ya aina hii.Akiwa muislamu mweupe ataitwa alqaida katumwa na Osama.Akiwa mdigo au mbajuni nae hatosalimika na fitna zao.Akiwa mweusi msomali ni Alshabaab.
Wakati unaendelea kuwapatia waisilamu wenziwe joto za kurithika na ugaidi, jiulize kama MRC ndio wa kwanza. Walikuja mungiki, jeshi la mzee, mwanyimbo, kayabombo na wajua mwisho wao. uislamu udigo na ubajuni unataka kuyalinganisha. Wewe utakuwa mubulushi wewe...Haswa!
Hii east Africa yote inabidi EAC kukaa na kuamua kuthibiti hizi chokochoko njaa za hawa mahooligans kwa kuleta bill mpya ya kwamba mtu yeyote anaye perpetrate hatred ni kuua tu! bila kujali ni rangi gani, kabila gani wala ni dini gani! period!!
si vyema kujadiliana na gaidi hili liitwalo Ami. Cha kwanza hana chembe wala tone la fahamu kuhusu MRC kwani yeye ni mtanzania. Zaidi ya hayo, hoja zake nyingi zina taswira ya hujuma dhidi ya dhebehu la kislamu. MRC ni kundi fedhuli lenye nia ya kuvuruga amani, kama nilivyosema awali, yeyote kutoka Kenya, iwe kiongozi ama mfadhili wa nje atakaye walipia Mraja, Munwabazi ama katibu mkuu bondi ya kutoka nje pia yy yu matatani.
Stonehouse, ya "boma" tutayasuluhisha kama wakenya lakini nafsi chafu kama za Ami hazifai kujibiwa hata.
Shukran ndugu, kemea pepo za kigaidi.
Unazungumza kwa mdomo au? Unajua hasa madai yao na kwa nini? Acha kukurupuka na kunadi ukatili....wewe ndiye hooligan.
Namuhunga mkono livefire kikamilifu. Wakati huu wakenya wenzangu itakuwa jambo la kawaida kukutana na ushuhuda wa kupotosha kuhusu MRC na habari nyingi za dhulma dhidi ya jamii ya waislamu kama za kina ami na wengine. Habari zitachipuka kwa wingi kuhusu kenya kushindwa kulithibiti vuguvugu la MRC. Kinyume na hizi habari za kupotosha, itakumbukwa MRC sio kundi la hivi majuzi na ni vuguvugu ilioanza shughuli za ufedhuli kutoka siku za mbunge marehemu Karisa Maitha. Hivyo, ni kundi limekuwa chini ya uangalizi mkali. Sidhani kama MRC itaikosesha kenya usingizi.si vyema kujadiliana na gaidi hili liitwalo Ami. Cha kwanza hana chembe wala tone la fahamu kuhusu MRC kwani yeye ni mtanzania. Zaidi ya hayo, hoja zake nyingi zina taswira ya hujuma dhidi ya dhebehu la kislamu. MRC ni kundi fedhuli lenye nia ya kuvuruga amani, kama nilivyosema awali, yeyote kutoka Kenya, iwe kiongozi ama mfadhili wa nje atakaye walipia Mraja, Munwabazi ama katibu mkuu bondi ya kutoka nje pia yy yu matatani.
Stonehouse, ya "boma" tutayasuluhisha kama wakenya lakini nafsi chafu kama za Ami hazifai kujibiwa hata.
Shukran ndugu, kemea pepo za kigaidi.