Serikali ya jk kuwekewa ngumu na wahisani

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
Kuna tetesi sasa zimeanza kusikika serikali ya JK kuwekewa ngumu kupata misaada na mikopo kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa na wahisani kutokana na serikali yake kuteKeleza mauwaji ya Arusha na kutokuwepo kwa democracy ya kujieleza wazi na kuzima vyama upinzani kuwa na Uhuru.

Utamu zaidi hupo pale DR.slaa atapokwenda kuishitaki serikali JK kwa wahisani na Mahakama za kimataifa juu ya tukio la Arusha.

Niwazi kuwa kila chombo cha habari cha kimataifa kimweza kuriport habari ya Askari kuuwa raia.kwa hiyo hakuna mtu duniani asiyejua yale yaliyotokea Arusha..Watanzania jiandaeni kujifunga mikanda na kunywa chai bila sukari..

:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Guys, wahisani nao wanafiki! Wanaangalia maslahi yao tu hata pale watu wanapokufa hovyo. Na katika mazingira ya leo ambapo wanapigania influence katika nchi zetu za afrika dhidi wachina! Angalia mfano wa kesi ya radar! Ingekuwa kwamba serikali ya uingereza ndo imetapeliwa wangeshupalia kuona perpetrators wote wanafikishwa chini ya sheria. Lakini kwa sababu wazungu ndo walikuwa kwenye gaining side, wamewaachia watawala wetu waamue wenyewe! and here we are! Hapa mkisubiri kwamba dr slaa akashtaki kwa wahisani, uh, watakaa kwanza waangalie how much gain/loss they will get from siding with either side! Solution is people's power!
 
Mambo ya kufanya kuwafurahisha wahisani kuliko watanzania utata mtupu. Afanye Slaa au JK ni yale yale
 
Guys, wahisani nao wanafiki! Wanaangalia maslahi yao tu hata pale watu wanapokufa hovyo. Na katika mazingira ya leo ambapo wanapigania influence katika nchi zetu za afrika dhidi wachina! Angalia mfano wa kesi ya radar! Ingekuwa kwamba serikali ya uingereza ndo imetapeliwa wangeshupalia kuona perpetrators wote wanafikishwa chini ya sheria. Lakini kwa sababu wazungu ndo walikuwa kwenye gaining side, wamewaachia watawala wetu waamue wenyewe! and here we are! Hapa mkisubiri kwamba dr slaa akashtaki kwa wahisani, uh, watakaa kwanza waangalie how much gain/loss they will get from siding with either side! Solution is people's power!

Mzee mi naona hata walipofikia( kwenye issue ya radar) ilikuwa ni favour tosha.Yani Wakufanyie uchunguzi, wakujulishe results, wakukamatie wezi, wakulipe fidia na bado unataka mwizi waliyekukabidhi wao ndio wamshughulikie?? Camon man thats too much..
Yani kila kitu kiko wazi kwani magereza yamejengwa kwa kina nani? walalahoi peke yao? Ni mtanzania gani leo hii hajui deal la radar na kina nani walikuwa behind na wamevuta bei gani through rushwa? Unasubiri waingereza wakamate kina vijisenti?
 
Serikali ya CCM lazima ishitakiwe kwa mauaji ya raia wasio nahatia CDM haitaeleweka kwa watanzania ........pamoja nakwamba wahisani wanaweza kunyima misaada yao lakini hatuna budi kufikishana huko kutokana na mambo ya kisanii yanayo endelea na serikali hii.inasikitisha sana kuona polisi inafanya kazi kwa maagizo ya chama na sio taaluama na maadili ya kazi, hakika hatuwezi kuwa na mfumo wa namna hiinatukajidai eti tunaamani...........

Serikali hii lazima iondoke na kupisha wengine wenye uwezo wa kuongoza nchi hii, mahali tulipo fikia hatuwezi kusema tuna demokrasia katika taifa hili nchi haiwezi kuendeshwa kihuni namna hii.
 
Few people are capable of expressing with equanimity opinions which differ from the prejudices of their social environment. Most people, especially those in the sitting govermnent, are even incapable of forming such opinions!
 
Mimi sioni ajabu kwa hili! angalia hata sasa hivi kwa hawa ma-staa wa wikileaks, only hosea came out ku-jikosha kwamba alikuwa quoted out of context! wazungu wanatujua kwamba ngozi nyeusi ina matatizo kwenye uwajibikaji akiachwa peke yake! na ndiyo maana nchini mwetu bei ya jasho la m-tz ni rahisi kuliko bei ya petroli au diseli kwenye stesheni za mafuta and no body cares!
 
Hatuna poplisi ni wauuaji! Hamna cha polisi jamii. Just vampires! Wananuka damu kama mnao mtaani kateni shingo zao. au waende wakakae na mwema ambaye naye ananuka dzmu.
 
watakaopata shida ni wananchi na wala sio JK . jk na wanawe wote wana mishahara hadi katto kake kadogo ni kak kada
 
wewe huwajui wahisani mara nyingi wana INTEREST zao hawaangalii mambo km haya.
Labda mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotoa misaada ya kibinadamu nanaweza kuguswa na mauaji km haya.

Serikali za duniani hazina tofauti saaana tofauti ni kuwa maendeleo ya wenzetu yako juu na raia wanaheshimika.

Serikali za kiafrika zinaona raia km takataka na hazijali kabisa isipokuwa pale wanapotaka kupigiwa kura tu.

Hapa kila mtu afunge mkanda wake tu, ukipata za KURAMBA basi zirambe sawa sawa maana usiporamba wewe wenzio wataziramba tu.
 
Man! wazungu wanajali zadi penye maslahi yao, au kama wanakisasi na wewe. Tuamue wenyewe kama nikweli hatuoni umuhimu wa wenzetu.
Naamini hata katika vikosi vyetu si wote wanafurahishwa na uongozi dhalimu wa kikwete.
Tumpe Mungu nafasi kwani muda wake umekaribia.
 
Back
Top Bottom