Serikali ya JK itakubali kuachia ngazi???

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wakuu habari za hapa jamvini?huu ni mtizamo wangu na ningependa niwashirikishe wakuu pia. Serikali ya JK mpaka sasa imeshaharibu mambo mengi tukianzia na hili la richmond..na kutokana na unafiki wao mpaka sasa naweza kusema kuwa kilichobaki ni kuachia madaraka manake hakuna msafi hata mmoja kuanzia mkulu hadi chini huku.Sasa je kama ukifika wakati wa kumtaka Mkulu aondoke je ataondoka????????????
 
Kuna maana gani ya wao kuachia ngazi kama ukiitishwa uchaguzi mwingine wataingia watu wale wale? Wazo lako linafaa tu iwapo kungekua na chama kingine chenye nguvu ambacho kina uwezo wa kucapitalize makosa ya chama tawala.
 
Usiseme srikali ya JK sema serikali ya CCM, maana kesho akitokea mwana CCM usiyewahi kumsikia kabisa na akawa rais, matendo yake, mwenendo, tabia, ni copy right na waliotangulia
 
Back
Top Bottom