Serikali ya JK inamiliki magari worth 5 trillion!

5,000,000,000,000/200,000,000=25,000 Vehicles!

Kutokana na madai ya JK kwenye hotuba yake kwa wazee wa Dar kwa Mgaya.... JK alidai kuwa serikali ina wafanyakazi 350 000. Kwa mahesabu hayo 350 000 / 25 000 = 14. Inamaana kila gari linachudumia wafanyakazi wa serikali 14.

No wonder serikali ya Japani iko busy kutujengea vibarabara Dar kila siku!!!!!
 
5,000,000,000,000/200,000,000=25,000 Vehicles!

Kutokana na madai ya JK kwenye hotuba yake kwa wazee wa Dar kwa Mgaya.... JK alidai kuwa serikali ina wafanyakazi 350 000. Kwa mahesabu hayo 350 000 / 25 000 = 14. Inamaana kila gari linachudumia wafanyakazi wa serikali 14.

No wonder serikali ya Japan iko busy kutujengea vibarabara Dar kila siku!!!!!
 
Naomba niulize swali kidogo hivi ipi ni core b'ness au mission ya serikali yetu? Je,ni utoaji wa usafiri kwa viongozi wa serikali na watendaji mbalimbali au kusimamia rasilimali za taifa ili kumletea maendeleo mtanzania wa kawaida?
5 trillion Tshs. worth of automobiles!!! Is this a government or Yellow Cabs?
 
Nafikiri alikuwa Mbunge mzee mmoja toka Bukoba na alifariki kwa basi akielekea Dodoma au Dar vile? pia alishawahi kusema akili za wabunge ni kama kuku kwani kuku hunyea kwenye banda wanaloishi asubuhi wanatoka halafu usiku ukiingia wanarudi kulekule walikonyea,...hapo aliwagusa CCM kwani kidogo wampige ban ila alifuta usemi wake (Nikumbusheni jina tafadhali)

Alikuwa akiitwa Fares Kashemeza Kabuye, mbunge wa Muleba. Alikuwa mwalimu, mtu mwenye ujasiri mkubwa! Aliyosema yamedhihirika.
 
Kenya waziri anatembelea VW Passat 1.8. Ni gari nzuri na yenye gharama nafuu. Sisi mkue wa wilaya anatembele Land Cruiser VX V8!!! Unaweza ukaona tofauti kati ua umakini na kufikiria matanuzi!!

I am so gutted!!

Mkuu hapo ndipo unaweza kuuona ubinafsi wa viongozi wetu.Hiyo midude V8 VX ina fuel consumption ya kufa mtu halafu angalia unavyopishana nayo mitaani yako mengi saaaana.
Wakati hizo VW Passat 1.8 ziko fuel efficient ukizingatia wenzetu waliona kuna umuhimu wa kupunguza matumizi ili kuweza kuwa na bajeti ya kujitegemea.
Wenzetu wanaweza kwa kiwango kizuri sisi bado tunang'ang'ania hizi fuel consuming beasts.
 
Sawa kabisa ulimakafu maana kuna kipindi huwa najioff kufuatilia mambo ya serikali yetu il kuilinda afya yangu na izi lfestyle deseases zinazotunyemelea daily ila vimeo haviishi.
Naona kuna haja ya kuweka suala la watu kunyongwa ktk katiba hasa ikibainika umefuja hela za serikali.
Huwezi nunua gari 200mil alafu mashuleni hamna chaki sasa huu si us..............ge
 
Huyu Rais ameamua kuvunja rekodi ya karibu kila kitu. Eti watu wengine wanasema ndio Rais bora kupata kutokea katika Tanzania...karuhusu watu kuiba serikalini bila kuchukuliwa hatua, karuhusu mawaziri kufanya watakavyo mpaka kujisamehe kulipa kodi, yeye amekuwa mtalii mkubwa. Hii nchi yetu anaipeleka wapi? Wenye nia njema tusiache kuiombea maana sasa hivi itazama. Mswahili anaendeleza mila na tamaduni zake.
 
Nafikiri alikuwa Mbunge mzee mmoja toka Bukoba na alifariki kwa basi akielekea Dodoma au Dar vile? pia alishawahi kusema akili za wabunge ni kama kuku kwani kuku hunyea kwenye banda wanaloishi asubuhi wanatoka halafu usiku ukiingia wanarudi kulekule walikonyea,...hapo aliwagusa CCM kwani kidogo wampige ban ila alifuta usemi wake (Nikumbusheni jina tafadhali)

Alikuwa ni mzee mmoja aliyekuwa mbunge wa Biharamulo - Kagera(ccm)[ Phares Kabuye] , baadaye wakamchakachua kura za maoni akahamia upinzani na akashinda tena, miaka miwili mitatu iliyopita nadhani walimchakachua wakati anakuja Dar ktk mkutano wao mkuu akapata ajali ktk bus. kumbukumbu zangu zinaiishia hapo.
 
Mkapa aliishasema enzi zake kuwa hakuna kununua magari ya anasa tokea bajeti ya kwanza alipoingia madarakani. but what did he do? aliendelea kununua mashangingi tu nahadi leo mwendo ni huo huo. Hii ni nchi ya wajinga kabisa kupata kutokea!
 
Duuu hapa hatuponi wankula nchi kama hamna kesho nafikiri mabadiliko yanahitajika haraka 2015 mbali sana watukuwa wamemaliza na kutuachia mashimo.
 
Back
Top Bottom