Serikali ya Jk hoi!!

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Kwa ear say kuna habari kuwa serikali hii inakopa fedha za kulipa mishahara ya wafanyakazi wake kutoka kwa wafanyabiashara kama akina Bakhresa,manji nk,
mf mishahara ya mwezi jana imekopwa kwa bakhresa,
kuna ukweli?
 
Du hatari kama ni kweli! TRA hawakusanyi kodi kwani au matumizi ni makubwa kuliko income?
 
Nnachojua ni kuwa wahisani wamepunguza misaada
 
Kwa ear say kuna habari kuwa serikali hii inakopa fedha za kulipa mishahara ya wafanyakazi wake kutoka kwa wafanyabiashara kama akina Bakhresa,manji nk,
mf mishahara ya mwezi jana imekopwa kwa bakhresa,
kuna ukweli?

Thibitisha ear say yako, vinginevyo ni uzushi.
 
Acha kukurupuka wewe umeshaona kuwa ni ear say halafu unakimbilia kudai ushahidi mbona kama hazikutoshi,
nyie ndio mnaua hili taifa kwa wizi na umbumbu wenu mkituhumiwa mnakimbilia kuomba ushahidi wakati mnajua namna mlivyopanga hila zenu kupoteza ukweli,
shame up you!!
Thibitisha ear say yako, vinginevyo ni uzushi.
 
hii taarifa nimemsikia Mzee Cheyo akiongea ktk VOAswahili kuwa balozi zetu huko nje ziko hoi wanashindwa kulipa hata mishahara ya kawaida tu kwa wafanyakazi
 
Hapa ndio naona namna serikali inavyojiingiza matatizoni zaidi!!Huyo anayekopwa,anapewa nini inreturn?
Je ni Msamaha wa kodi? Kesho na kesho kutwa,serikali itaweza kuwakoromea hawa wafanya biashara??
Naihurumia nchi yangu!!
 
Acha kukurupuka wewe umeshaona kuwa ni ear say halafu unakimbilia kudai ushahidi mbona kama hazikutoshi,
nyie ndio mnaua hili taifa kwa wizi na umbumbu wenu mkituhumiwa mnakimbilia kuomba ushahidi wakati mnajua namna mlivyopanga hila zenu kupoteza ukweli,
shame up you!!

Dah! kumbe unajua inaweza ikawa tuhuma japo siyo rasmi, sasa wapi umeona tuhuma isiyo na uthibitisho...? then punguza kukurupuka mana siyo kila unachofikiri wewe kwa uelewa wako kinaweza kuwa sahihi au siy
 
Tetesi hizi zilianza muda mrefu kuna kipindi hali ilionyesha kweli ni mbaya lakini hapo kati kama ilijistabalize. Lakini ukweli unabaki kuwa huduma za msingi katika serikali nyingi zimezorota sana, ni madeni matupu na muda si mrefu isipolipa itashindwa kujiendesha.
 
Du hatari kama ni kweli! TRA hawakusanyi kodi kwani au matumizi ni makubwa kuliko income?

We unafikiri kama kila siku nchi,inasherehekea sikukuu tu ambazo hazina faida zaidi ya hasara,mapato yatasalimika kweli?hii ni nchi ya sherehe bwana.
 
last year mshahara wa october inasemekana AZAM aliwezesha....so nobody knows but time will tell....
 
Back
Top Bottom