jamaliprint
Member
- Feb 28, 2015
- 33
- 31
Ni muda sasa secta ya madini inazidi kuonekana kana kwamba aina mchango wa kuinua uchumi wa Tanzania ,kuna aina mbali mbali ya Madini kama Dhahabu,Tanzanite,almas,GreenGarnet,change colour,Blue Sappihier na mengine naomba serikali iache Policy haba ianze na sera mpya iifanye kushika Maeneo muhimu hasa mkoa wa Geita,Kahama na North Mara lipeni Jeshi kusimamia kazi hii hata kama masuala ya vifaa ni ghali anzeni locally kama kuna wachimbaji wadogo wanachimba nguvu kubwa ya labour serikali ikitumia nadhan itakua ni njia sahii ya kujiinua kuliko kusubiri Majiz wawekezaji ambao serikali inaambulia asilimia ndogo ya kodi,why nimesema Jeshi kwanza suala ya chakula kwa wafanyakazi kitatoka JKT ,vifaa na dhana kama karasha,futa,vibati vya kuripua serikali iangize pasipo lipa kodi afu ijenge waajiriwa apa ni aporos watu wasio na elimu kubwa Non skilled labour ,Process ya uchimbaji ni ndefu sana kuielezea apa ila kuna vyuo vya madini apa kwetu vijana wengi hawana ajira then toboeni iyo aridh chini kwa chini muone makorongo wezenu wanavyoiba na kusema bado wanafanya tafiti na Jeshi hili ndio liwe linakagua na kua na amri juu ya viawanja vya ndege vtote vilivyo karibu na migodi hii kukagua na kutambua kila kinachoingia na kutoka ,apa itasaidia kuongeza pato la kigeni kwani mkichimba mtauza ninyi weneyewe kwa masoko mbalimvali duniani kulingana na Bei inawapa faida.hawa vibarua wao ni posho za sigara ila mtaeka mkataba wakti mzgo ukitoka serikali inanua kwao kwa bei affadoble then inaenda uza au mkataba wa asilimia kila mmoja wakti mzgo umepatiKana,,,nitaruudi badae!