Serikali ya Dr. Kikwete yaanza kuleta matumaini kwa watanzania

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
574
222
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,
 
Wee soma alama ya nyakati!

Wamekumbuka shuka ingali

kumekucha! Itawasaidia????

Yani wangewekana magereza kuanzia mafisadi A to Z na hata ikiwezekana wengine wanyongwe!

Maisha ya Mtanzania ni magumu hv wewe unakuja na siasa yako ya giza hapa!

Unawatetea siyo!
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama prof muhongo,dr mgimwa,dr mwakyembe na uwepo wa dr pombe magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,tunaomba mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,
sina hope na hilo
 
Jamani acheni kupotosha. Matumaini yapi ambayo mwanzisha mada anayozungumzia? Alishafanya research juu ya hilo?
Ndo yale yale ya 'JK ni chaguo la Mungu.'
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,

Mkuu BMT we ni mtanzania kweli? By the way, ni vizuri ukazungumza juhudi binafsi za mawazi hao. Kikwete hana nia njema ya kuwatumikia watanzania maskini. Kikwete ana nia njema ya kuwatumikia matajiri na wezi wa rasilimali zetu.
 
Last edited by a moderator:
Kuwataja wezi wa mali ya uma ni kuanza kuleta matumaini kwa watanzania?.huku ni kujivuwa nguo wenyewe kuwa serekali ya jk imejaa wezi.
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,

Mhhh.. Loading................2%.
 
Mkuu BMT we ni mtanzania kweli? By the way, ni vizuri ukazungumza juhudi binafsi za mawazi hao. Kikwete hana nia njema ya kuwatumikia watanzania maskini. Kikwete ana nia njema ya kuwatumikia matajiri na wezi wa rasilimali zetu.

Well said na hata hao mawaziri wape mda tu utakuja kuyaona madudu watakayotoka nayo.

Hata Janga la Kitaifa alianza hivyo hivyo 2005
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,
Wewe ni Ephraim Kibonde..unataka UDC??****....on trash..with other garbage..like Metal scrapes
 
Well said na hata hao mawaziri wape mda tu utakuja kuyaona madudu watakayotoka nayo.

Hata Janga la Kitaifa alianza hivyo hivyo 2005

du usinikumbushe machungu aliingia kwa mbwebwe wabunge wakamshangilia .......maisha bora na uchumi unao paa ndege nane treni kibao ......yako wapi kumbe uchumi ni wake na rafiki zake.
hivi inamaana jk au waziri mkuu au usalama wa taifa walikuwa hajui nguzo za umeme zina toka kwa lukivi halafu zinazungukia mombasa kuja tz eti zimetoka south
 
Mkuu mimi ninaamini tofauti na sioni sababu ya kubadili imani niliyonayo.. Ninaamini Tuna watu katika idara ya usalama ambao ni "WELL TRAINED" na wanaelewa kila kitu kinachofanyika katika nchi hii Wengi wao walichokosa ni UADILIFU sababu mabosi wao ndo wanaoyafanya haya hivo inabidi wakubaliane na upuuzi wa wakubwa wao NDIO MAANA SIRI ZA NCHI ZINAVUJA KAMA KI-DATE CHA UNTRAINEDE PLAY BOY... Wale wachache wenye uzalendo ndo Wanatoa huo uozo...

NKULIZE SWALI DOGO TU... KWANI HIZI TAARIFA ZA NGUZO ZA UMEME ALIZOTOA WAZIRI BUNGENI ZIMETOLEWA NA NANI/
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,

Sasa mkuu mbona kichwa cha habari na kilicho andikwa ndani nitofauti? kwakuwa mimi ni MTANGANYIKA habari hii hainiusu ngoja ninyamaze zangu.
 
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk imejipanga kuwatumikia wananchi masikini na hivyo kujipanga vema kwa uchaguzi mkuu wa 2015,TUNAOMBA Mh rais uwaache wafanye majukumu yao kwa kujinafasi na kwa uhuru mkubwa,

Loading..................100%... Loading Complete

Ukimuona Mtanzania yoyote yule anaitetea serikali iliyoko madarakani ujue kuna moja au yote kati ya mambo 2

1. ATAKUWA MTUMISHI WA SERIKALI ANAYENUFAIKA NA MFUMO (USIOKUWA HALALI) WA HII SERIKALI
2. ATAKUWA ANAFAIDA "INDIRECT" NA SERIKALI.. Mf: mtoto wa rais , w mkuu mawaziri etc

Hays PROVE ME WRONG!!
 
Mkuu mimi ninaamini tofauti na sioni sababu ya kubadili imani niliyonayo.. Ninaamini Tuna watu katika idara ya usalama ambao ni "WELL TRAINED" na wanaelewa kila kitu kinachofanyika katika nchi hii Wengi wao walichokosa ni UADILIFU sababu mabosi wao ndo wanaoyafanya haya hivo inabidi wakubaliane na upuuzi wa wakubwa wao NDIO MAANA SIRI ZA NCHI ZINAVUJA KAMA KI-DATE CHA UNTRAINEDE PLAY BOY... Wale wachache wenye uzalendo ndo Wanatoa huo uozo...

NKULIZE SWALI DOGO TU... KWANI HIZI TAARIFA ZA NGUZO ZA UMEME ALIZOTOA WAZIRI BUNGENI ZIMETOLEWA NA NANI/
kweli wapo wachache wanaoona uchungu ndio wanao zileta siku za nyuma walikuwa wanawapa hizo info wapinzani.
tatizo watamalizana wakija gundua au wanajuwa tatizo ni ikulu dhaifu watu wameona waliochukuwa pesa nssf kibinafsi yaani madudu yote kwa ujumla wapo huru sasa kama wewe utafanyaje?
 
Muislamu akiwa Raisi basi nchi itaingia neema tu ,mkitaka msitake ,Angalia Nyerere angalia Ali Hasan Angalia Mkapa na Kikwete huyo japo walokole wamemsakama.
 
Back
Top Bottom