Serikali ya CCM na Vifo vya Utata

Hao wanao ua wenzao wataishi Milele.Huo mwanga wa milele iwaangazie na wao na familia zao.
 
Nimewaza mengi leo kuhusu utawala wa CCM tulio nao na jinsi unavyoweza wafanya watanzania wa leo wajinga na tusioweza kuwaza mbali,
Viongozi wengi wamepita katika nchi hii kwa kila style na wengine maisha yako kuishia ukingoni katika hali tete isiyoweza kuwaingia watanzania wa sasa mioyoni mwao.
Hebu leo Tuangalie wafuatao na kama waweza ongeza niliowasahau jiweke wazi ili wote tuwe katika uperuzi wa aina moja.
Sasa wale wanaojiita Malaria Sugu waweke kiza chao kujipumbaza wakidhania tu wajinga tena.

1> Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine - Ajali ya Gari Morogoro...
2> Horance Kolimba - katibu mkuu CCM baada ya kutoka kwenye Microphone akihojiwa na kamati kuu ndiyo hakuamka.
3> Imrani Kombe - Alipigwa Risasi za wazi japo alijisalimisha kwa kunyanyua mikono juu.
4> Daudi Balali - Mpaka leo serikali haijasema uwazi wa ni kwa nini hakuzikwa tz kama kweli alikufa.
5> Dr. Omari Ally Juma - Alikagua maonyesho ya sabasaba na kesho yake hakuamka.
6> Aliyepigwa risasi na yule mkuu wa mkoa dereva wa daladala - Ditopile Mzuzuri
7> Kighoma Malima - Aliutaka urais na alikuwa waziri ikatokea tetesi fulani sijui ikawa je akiuataka Urais akafa.
8> (Mzee wa Kiraracha Mungu anampenda bado..ingekuwa Du!!!
9> Amina Chifupa na mapambano ya Madawa ya Kulevya..Yupo wapi?

Acha wale wanyonge wanaokufa kiaina na serikali inatulia,Sasa sijui tunasema je kwa baadhi ya vifo japo kifo ni lazima.
Vipi kuhusu mchungaji Mtikila?
 
Back
Top Bottom