Serikali ya CCM na Vifo vya Utata

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Nimewaza mengi leo kuhusu utawala wa CCM tulio nao na jinsi unavyoweza wafanya watanzania wa leo wajinga na tusioweza kuwaza mbali,
Viongozi wengi wamepita katika nchi hii kwa kila style na wengine maisha yako kuishia ukingoni katika hali tete isiyoweza kuwaingia watanzania wa sasa mioyoni mwao.
Hebu leo Tuangalie wafuatao na kama waweza ongeza niliowasahau jiweke wazi ili wote tuwe katika uperuzi wa aina moja.
Sasa wale wanaojiita Malaria Sugu waweke kiza chao kujipumbaza wakidhania tu wajinga tena.

1> Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine - Ajali ya Gari Morogoro...
2> Horance Kolimba - katibu mkuu CCM baada ya kutoka kwenye Microphone akihojiwa na kamati kuu ndiyo hakuamka.
3> Imrani Kombe - Alipigwa Risasi za wazi japo alijisalimisha kwa kunyanyua mikono juu.
4> Daudi Balali - Mpaka leo serikali haijasema uwazi wa ni kwa nini hakuzikwa tz kama kweli alikufa.
5> Dr. Omari Ally Juma - Alikagua maonyesho ya sabasaba na kesho yake hakuamka.
6> Aliyepigwa risasi na yule mkuu wa mkoa dereva wa daladala - Ditopile Mzuzuri
7> Kighoma Malima - Aliutaka urais na alikuwa waziri ikatokea tetesi fulani sijui ikawa je akiuataka Urais akafa.
8> (Mzee wa Kiraracha Mungu anampenda bado..ingekuwa Du!!!
9> Amina Chifupa na mapambano ya Madawa ya Kulevya..Yupo wapi?

Acha wale wanyonge wanaokufa kiaina na serikali inatulia,Sasa sijui tunasema je kwa baadhi ya vifo japo kifo ni lazima.
 
Mi nataka kujua kifo cha yule jamaa wa TUCTA alikufa gafla baada ya kunywa uji tu asubuhi kumbuka jamaa alikinukisha sana kuhusu TRC(ya wahindi) si umeona tangu afe kimyaaa,halafu kafa siku ambayo kesho yake walikua na kikao na rais ikulu,chunguza tu mjomba utabaini.
 
Abdul Omary Masood yule mtangazaji wa redio Tanzania naye mazingira ya kifo chaka?
 
Wapumzike kwa amani,Mwanga wa milele uwaangazie, naomba Mwenyezi Mungu azipokee roho zao mbele ya nuru ya Uso wa Mungu Baba. Amen.
 
Nimewaza mengi leo kuhusu utawala wa CCM tulio nao na jinsi unavyoweza wafanya watanzania wa leo wajinga na tusioweza kuwaza mbali,
Viongozi wengi wamepita katika nchi hii kwa kila style na wengine maisha yako kuishia ukingoni katika hali tete isiyoweza kuwaingia watanzania wa sasa mioyoni mwao.
Hebu leo Tuangalie wafuatao na kama waweza ongeza niliowasahau jiweke wazi ili wote tuwe katika uperuzi wa aina moja.
Sasa wale wanaojiita Malaria Sugu waweke kiza chao kujipumbaza wakidhania tu wajinga tena.

1> Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine - Ajali ya Gari Morogoro...
2> Horance Kolimba - katibu mkuu CCM baada ya kutoka kwenye Microphone akihojiwa na kamati kuu ndiyo hakuamka.
3> Imrani Kombe - Alipigwa Risasi za wazi japo alijisalimisha kwa kunyanyua mikono juu.
4> Daudi Balali - Mpaka leo serikali haijasema uwazi wa ni kwa nini hakuzikwa tz kama kweli alikufa.
5> Dr. Omari Ally Juma - Alikagua maonyesho ya sabasaba na kesho yake hakuamka.
6> Aliyepigwa risasi na yule mkuu wa mkoa dereva wa daladala - Ditopile Mzuzuri
7> Kighoma Malima - Aliutaka urais na alikuwa waziri ikatokea tetesi fulani sijui ikawa je akiuataka Urais akafa.
8> (Mzee wa Kiraracha Mungu anampenda bado..ingekuwa Du!!!
9> Amina Chifupa na mapambano ya Madawa ya Kulevya..Yupo wapi?

Acha wale wanyonge wanaokufa kiaina na serikali inatulia,Sasa sijui tunasema je kwa baadhi ya vifo japo kifo ni lazima.

Kwani vifo vyao vinatoutiana gani na vifo vya wananchi wengine?
 
Rwegasira wa shirika la reli aliyekua akiendesha mgomo dhidi ya wahindi
 
Jamani mbona jana kilikuwa na thread kama hii hii lakini leo jamaa anatoa thread kama ya jana na kianza kwa maneno ati baada ya kuwaza mengi! Amaaa umewaza mengi wapi wakati thread ipo?

This is the home of GREAT THINKERS whose thinking is all about cut&paste!
 
Nimewaza mengi leo kuhusu utawala wa CCM tulio nao na jinsi unavyoweza wafanya watanzania wa leo wajinga na tusioweza kuwaza mbali,
Viongozi wengi wamepita katika nchi hii kwa kila style na wengine maisha yako kuishia ukingoni katika hali tete isiyoweza kuwaingia watanzania wa sasa mioyoni mwao.
Hebu leo Tuangalie wafuatao na kama waweza ongeza niliowasahau jiweke wazi ili wote tuwe katika uperuzi wa aina moja.
Sasa wale wanaojiita Malaria Sugu waweke kiza chao kujipumbaza wakidhania tu wajinga tena.

1> Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine - Ajali ya Gari Morogoro...
2> Horance Kolimba - katibu mkuu CCM baada ya kutoka kwenye Microphone akihojiwa na kamati kuu ndiyo hakuamka.
3> Imrani Kombe - Alipigwa Risasi za wazi japo alijisalimisha kwa kunyanyua mikono juu.
4> Daudi Balali - Mpaka leo serikali haijasema uwazi wa ni kwa nini hakuzikwa tz kama kweli alikufa.
5> Dr. Omari Ally Juma - Alikagua maonyesho ya sabasaba na kesho yake hakuamka.
6> Aliyepigwa risasi na yule mkuu wa mkoa dereva wa daladala - Ditopile Mzuzuri
7> Kighoma Malima - Aliutaka urais na alikuwa waziri ikatokea tetesi fulani sijui ikawa je akiuataka Urais akafa.
8> (Mzee wa Kiraracha Mungu anampenda bado..ingekuwa Du!!!
9> Amina Chifupa na mapambano ya Madawa ya Kulevya..Yupo wapi?

Acha wale wanyonge wanaokufa kiaina na serikali inatulia,Sasa sijui tunasema je kwa baadhi ya vifo japo kifo ni lazima.[/QUO
Kuna bwana Sebastian Kinyondo, mzee wa mtemba na msema kweli wa wakati ule naye kifo chake utata.
 
1> Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine - Ajali ya Gari Morogoro...
2> Horance Kolimba - katibu mkuu CCM baada ya kutoka kwenye Microphone akihojiwa na kamati kuu ndiyo hakuamka.
3> Imrani Kombe - Alipigwa Risasi za wazi japo alijisalimisha kwa kunyanyua mikono juu.
4> Daudi Balali - Mpaka leo serikali haijasema uwazi wa ni kwa nini hakuzikwa tz kama kweli alikufa.
5> Dr. Omari Ally Juma - Alikagua maonyesho ya sabasaba na kesho yake hakuamka.
6> Aliyepigwa risasi na yule mkuu wa mkoa dereva wa daladala - Ditopile Mzuzuri
7> Kighoma Malima - Aliutaka urais na alikuwa waziri ikatokea tetesi fulani sijui ikawa je akiuataka Urais akafa.
8> (Mzee wa Kiraracha Mungu anampenda bado..ingekuwa Du!!!
9> Amina Chifupa na mapambano ya Madawa ya Kulevya..Yupo wapi?

Vipi kuhusu Kifo cha Prof. Mwaikusa aliyepigwa risasi kwenye gate lake wakati akiingia nyumbani kwake na gari na hakuna mali yoyote iliyoibiwa
 
Nasikia kingunge ngombale mwiru ndo rimoti ya wana ccm. Ukileta tu chokochoko anaminya rimoti faster. Huyu mzee aliisha tangaza kuwa hana dini ss unadhani ni mfuasi wa nani...
 
its either shetani
 
WANAJUKWAA.

Kama mtakumbuka aliyekuwa Makamu wa Raisi bara katika kipindi cha Rais Benjamini William Mkapa Dr Omary Ally Juma ambaye mauti yake yalimpata katika mazingira ya kutatanisha bado kuna mambo ambayo yananitatanisha, ningependa kupata mwanga zaidi.

Nisingependa kuingia ndani zaidi kuhusu jinsi alivyouwawa au kufariki kwake lakini ningependa kujua je ni kweli ndugu zake hawakuruhusiwa kumuona na mpaka leo haijulikani wapi alipozikwa na kwamba mwili wake haujatendewa haki?
 
Alifariki gafla usiku saa 5, moyo ulisimama huenda kwa sababu ya mambo ya usiku, mwili ulisafirishwa Zanzibar kwa mazishi na hakukuwa na zuio lolote.
 
Back
Top Bottom