Serikali ya CCM na Udini Utakaoangamiza TAIFA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
[h=1]Dr Shein amuapisha shekhe Kabhi kuwa Muft mkuu Zanzibar.[/h]Written by 27/09/2011

Na Talib Ussi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi mbali mbali akiwemo Sheikh Saleh Omar Kabhi kuwa Mufti Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu mjini Zanzibar.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Othman Masoud,Mawaziri, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdala Mwinyi, Wakuu wa vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na viongozi wengine.

DSC06635.JPG


Source:www.mzalendo.net
 
halafu akina Faiza Foxy na mumewe Mwita masaburi 25 wanataka mambo kama haya tuya adopt tanganyika, HAIWEZEKANIIIIII
 
Nahisi katiba yao inawahusu na suala hili ni la Zanzibar na wala si la Muungano. Tusichokonyoe sana mambo ya dini si mazuri sana kuyajadili hasa yanapokuwa sisi wa Wabara hayatuhusu. Kumbuka kuwa Zanzibar 98% are muslim. Ni kama Rais mpya za Zambia alivyodai ataongoza nchi kwa mujibu wa ten commandments
 
Back
Top Bottom