Serikali ya CCM imeoza ofisi ya Spika Urambo

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Hivi Serikali ya Ccm inatumia kichwa kufikiri kweli?mimi ninawasiwasi kwani iweje watumie pesa nyingi za walipa kodi kujenga ofisi ya Spika wa Bunge Urambo.Je spika wa sasa anatumiaje Ofisi iliyoto Urambo.Nadhani Tanzania ikipata Rais na Serikali makini Sitta Samwel anatakiwa afunguliwe mashtaka.
 
Mkuu,

Ile walisema ni ofisi ya mbunge wa Urambo. Kwa vile kwa kipindi hicho mbunge wa Urambo alikuwa ndo Spika basi ikajengwa kwa hadhi inayoendana na spika.

Ila lengo la hilo jengo ni kutumika kama Ofisi ya mbunge (yeyote) wa jimbo la Urambo hata kama atatoka CDM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom