Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

Hawa jamaa kina Mengi sijui kwa nini tunawakumbatia mpaka sasa na kuwaona eti wao wanasaidia sana jamii.
Ukweli ni kwamba wanatumia pesa zetu kujitangaza wao,pesa za walala hoi ndio wanatumia.
Lakini Rostam alisema kuwa Mengi kaiuzia NICO kampuni yake iliyofilisika sisi hatukusikia sasa ndio haya.
Viongozi wote wapelekwe mahakamani na wafilisiwe pesa zetu zirudi
 
Kuanzia juzi vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti taarifa zinazohusiana na kampuni ya uwekezaji ya NICOL,
lakini cha ajabu na cha kuduwaza ni kwamba IPP mEDIA na vyombo vyao vya habari wamepiga vunga, utadhani hamna kitu kinachoendelea,
wakati wao ndio walikuwa mstari wa mbele kabisa kutushawishi kwa lugha laini za kubembeleza tununue hisa,
leo mambo yameharibika wamegeuka kuwa mabubu.
Wanafunika kombe sisi wanaharamu tupite.
Kweli cha mlevi huliwa na mgema.
 
Kama kuna ukweli basi safari yetu ya tTz njema siyo ndefu sana kama nilivyokuwa nafikiria maana wababaishaji na waongo tutakuwa tumeanza kuwafahamu. Naamini kizazi cha watu wenye kuthamini integrity katika mambo wanayoyafanya hakiko mbali maana adhabu ya wezi na waongo wote tutakuwa tunaifahamu, especially hii tabia iliyoibuka sasa ya ku deceive the public.Wezi na wababishaji wawajibishwe bila kujari ni kina nani na wana majina gani.
Imefika mahali sasa salama yetu itakuwa katika kuwa na good controls and good governance systems in place. Sure, we have to be accountable for what we are doing.
 
Hapo tena patamu! SAsa hayo mashirika yanayopewa kibali cha kukusanya pesa za watu masikini kwa kutumia migongo ya serikali, inakuwaje haidhibitiwi? Hizo ni pesa, sasa Benki kuu haiwajibiki na watu wanaokusanya mapesa hayo kwa wananchi? Mbona DECI wamewashupalia sana ingawa nao ni kampuni? Kama tatizo la DECI lilikuwa ni uendeshaji ambao Benki kuu haikutaka hata kuwashauri ili kuboresha utendaji wa DECI, mbona wameduwaa kwa NICOL? Au tuseme Benki kuu naye ni fisadi mwenza wa NICOL? Angalau kuna watu kibao wamenufaika na DECI, sasa hiyo NICOL aliyenufaika nayo hasa ni nani? Itarudi vipi pesa ya watu waliyoichanga?

Kusema kweli BORA DECI walikuwa wawazi na hakuna aliyeilalamikia isipokuwa Gavana wa Benki kuu na Waziri wa fedha, naamini nao walifanya hivyo baada ya kuona imekula kwao.

Leka
 

Duties of
auditors (extract) from companies act 2002 sections shown below:

163.-(I) A company's auditors shall, in preparing their report, carry
out such investigations as will enable them to form an opinion as to -
whether proper accounting records have been kept by the company
and proper returns adequate for their audit have been received
from branches not visited by them, and
(a)
(b) whether the company's individual accounts are in agreement with
the accounting records and returns.
(2) If the auditors are of opinion that proper accounting records have
not been kept, or that proper returns adequate for their audit have not
been received from branches not visited by them, or if the company's
individual accounts are not in agreement with the accounting records
and returns, the auditors shall state that fact in their report.
(3) If the auditors fail to obtain all the information and explanations
which, to the best of their knowledge and belief, are necessary for the
purposes of their audit, they shall state that fact in their report.
(4) If the requirements of section 206 relating to disclosure of information
emoluments and other benefits of directors and others are not
complied with in the annual accounts, the auditors shall include in their
report, so far as they are reasonably able to do so, a statement giving the

required particulars.
 

Duty to
prepare
directors'
report

159
.-(1) The directors of a company, shall for each accounting
period, prepare a report giving a fair review of the development of the
business of the company and its subsidiaries during the accounting
period and their position at the end of it and the amount, if any, which
they recommend should be paid by way of dividend.
(2) The directors' report shall deal, so far as is material with any
change during the accounting period in the nature of the company's business
or in the company's subsidiaries, or in the classes of business in
116 No. 12 Companies 2002
which the company has an interest, whether as member of another company
or otherwise.
(3) If any person, being a Director of a company, fails to take all
reasonable steps to comply with the provisions of subsection (1), he
shall, in respect of each offence, be liable on conviction to imprisonment
or to a fine:
Provided -
in any proceedings against a person in respect of an offence
under subsection (1), it shall be a defence to prove that, he had
reasonable ground to believe and did believe that a competent
and reliable person was charged with the duty of seeing that the
provisions of that subsection were complied with and was in a
position to discharge that duty; and
(a)
(b) a person shall not be liable to be sentenced to imprisonment for
such an offence unless, in the opinion of the court, the offence
was committed wilfully.
160.-(I) The Directors' Report shall be approved by the Board of
Directors and signed on behalf of the Board by a Director.
Approval
and
signing of
Directors'
(2) Every copy of the Directors' Report which is laid before the company
in general meeting, or which is otherwise circulated, published or
issued, shall state the name of the person who signed it on behalf of the
Board.
Report​
(3) The copy of the Directors' Report which is delivered to the Registrar
shall be signed on behalf of the Board by a Director or the Secretary
of the company.
(4) If a copy of the Directors' Report -
(a) is laid before the company, or otherwise circulated, published
or issued, without the report having been signed as required by
this section or without the required statement of the signatory's
name being included, or
(b) is delivered to the Registrar without being signed as required by
this section,the company and every officer of it who is in default,
is guilty of an offence and liable to a fine.
 
Yote haya wanafuata nyayo za wizi wa Serikali. Kwa mfano tangu Serikali walipochukua hela za DECI na kukiri kukamata Bilioni 11 za wanachama, hata kama wanachama kwa kutokujua au kujua kwamba ni kosa, je Serikali ina uhalali gani wa kutumia fedha hizo? Ndio maana wengine wanaojua undani wa wizi wa Serikali, nao wanatafuta mbinu za kuwaibia wananchi labda niseme wao kwa vile wajanja wanatumia WIZI wa ustaarabu ambao athari zake zinaonekana baadaye sana kama hawa wa NICOL. Nchi imeoza hakuna anayemjali mlalahoi. Yaani sijui tunakwenda wapi jamani. Mungu Iokoe TZ
 
Unajua Tanzania wajanja wapowengi saana. Mambo yanafanya kisiasa zaidi kuliko kitaalam. Hii NICOL inafananafanana na UTT. Wanaweza wakajitokeza wakabisha lakini haya yote yatalipuka. Maana ni investment amabzo hazieleweki. Watu wanadanganywa vipande sijui nini. Lakini the bottom line the guys are not transparent.
Inahitajika utafiti kuanzia kwenye NICOL mpaka kwenye UTT. Wakati wake utafika soon or later.
 
Yaani wale ambao huwa wanatafuta topic kwa master thesis zao sijui hizi za corporate governance hawazioni. Maana NICOL inaweza ikampa mtu PhD kama ataamua kuresearch.
 
Kwani katika majina hayo hakuna wakutoka kaskazini?Kama wapo wala sioni jipya kwani hiyo ndio jadi yao,teteteeee
 
Wakuu

Haya ni mambo ya kitaaluma kidogo na ndio maana NICOL wanapata kiburi ya kuitisha AGM ilhali NBAA, CMSA and DSE wamewashauri kuziondoa reports zao. Na wamepata kiburi cha kuwakatalia Mangeso kuondoa account zao maana NICOL ndo wanandaa accounts na Mangesho kazi yake nikutoa Independent Opinion tu. Kama awali walisema ziko poa iweje wabadilishe? Je standards zilibadilika karibuni? Je Tanzania imeanza kufata IFRS leo? Kunamambo mengi ya Kujiuliza katika hizi nenda rudi.

Issue iko kwenye presentation ya Financial statement zao kwa kuzingatia tafsiri sahihi ya IFRS ( International Financial Reporting Standards). Kutofautinana kwenye presenation haiwezi kutafsiriwa kama ufisadi labda maamuzi ya uwekezaji wenye utata ndio inahitaji zaidi kufuatiliwa. Jambo ambalo limewekwa mwisho kabisaa kwenye hii release ikionyesha kwamba halina uzito sana na/au mamlaka husika haina uthibitisho wa kutosha juu ya kukosekana umakini katika uwekezaji huo.

Kwa waliowahi kuufatilia mgogoru huu, swala kubwa niko kwenye presentation ya thamani halisi ya mali ambazo NICOL inamiliki hasa ukizingatia uwezekano wa kufilisiwa kwa baadhi ya invetsments. Mtazamo ambao MGT ya NICOL inatofautiana na CMSA hasa kwakua wanaamini wana basis yakuriport kile wanachoreport.

Kwakua standards hizi zipo na Board zilizosibitiswa kutafsiri hizi standards zipo hili litapatiwa ufumbuzi.
Mkuu kwa hiyo ni suala la kitaalam zaidi kwa maana ya taaluma ya uhasibu kuliko tuhuma za watoto wa mjini kuwaingiza watanzania kibao mkenge,au?
 
Resign, Bomani advises NICOL board members

By FARAJA MGWABATI | Daily News | 29th October 2009

FORMER board member of the National Investment Company (NICOL), Judge Mark Bomani has advised current members to step down to pave the way for investigations into alleged financial scam.

The Nicol board faces a series of allegations involving preparing false financial statements to deceive its shareholders.

Bomani's comments comes a day after the Capital Markets and Security Authority (CMSA) issued a warning to board members for failure to comply with its directives regarding proper presentation of 2008 financial statements.

"I think the board members must follow the authority's advice because CMSA is the supervising authority of companies such as NICOL," Bomani said in a telephone interview.

"It would be better if they stepped down and give room for investigations and reduce tension to shareholders," said Bomani, adding that he withdrew from the board more than a year ago after he reached statutory age of 70 years.

The CMSA in a joint statement with Business Registration and Licensing Agency (Brela), Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and National Board of Accountants and Auditors (NBAA) on Wednesday asked the shareholders to force the board members to resign and take them to court if they refused to heed.

Commenting on CMSA's statement, NICOL's Board Chairman, Mr Felix Mosha, yesterday admitted that the company's financial statements were not clean.

The chairman, who together with other shareholders, has been in friction with CMSA for a while, said yesterday that they are currently rectifying the mistakes.

"It's true there was problems in our financial statements…we are correcting them and we are in discussion with the CMSA over the matter," said Mr Mosha.

Mr Mosha yesterday assured shareholders that their money invested in the company were safe, saying "85 per cent of their money is safe with National Bank of Commerce."

The chairman, however, declined to comment on CMSA's view that they should resign or be kicked out of the board, or taken to court.

The CMSA also alleged that they observed after on spot inspection, that NICOL Directors made investment decisions without undertaking proper due diligence which resulted into questionable quality of investments in the companies such as Interchem Pharmaceutical, Beverage Limited (IPBL) and Twiga Feeds Ltd.

CMSA's statements came just few days after NICOL convened its annual general meeting last Saturday which was deemed illegal by the authorities. The meeting was postponed to tomorrow.

The verdict is expected to be delivered tomorrow by shareholders at the meeting, though CMSA maintained in their statement that they should not present financial statements to the shareholders because their books were not clean.

According to NICOL's website, board members comprise prominent personalities including Ibrahim Kaduma, Idd Simba, Hashim Mbita, Dr Martha Qorro and Thabita Siwale. Others like Reginald Mengi and Nehemiah Mchechu resigned recently after the revelation of the questionable report in NICOL
 
Mkuu kwa hiyo ni suala la kitaalam zaidi kwa maana ya taaluma ya uhasibu kuliko tuhuma za watoto wa mjini kuwaingiza watanzania kibao mkenge,au?
Hakuna cha Taaluma ya uhasibu hapo. Anayeweza kujenga hoja ya uhasibu kwa kweli aje atufafanulie.
Bad enough kuna wale wakereketwa wa ufisadi wamekaa kimya wanajifanya hawaoni. Nadhani hatupaswi kuchagua sura wala rangi. Yoyote anayeibia Watanzania anapaswa kuambiwa ukweli. Km tunachagua the ile slogan ya we dare to talk openly inakuwa impaired.
 
By The guardian reporter



6th November 2009



National Investment Company Limited (NICOL) shareholders have refused to accept the resignations tendered by company directors and have directed the board to continue discharging its duties.




This was decided at the company's annual general meeting held last October 30 in Dar es Salaam.
A statement issued in Dar es Salaam on Wednesday said the shareholders were mindful of the fact that a normal working relationship with the regulators was a necessary condition to the existence and success of the company.
"They have considered the resignations tendered by the NICOL directors and have refused to accept them and have directed the board to continue discharging its responsibilities," said the statement.
The statement said the shareholders were desirous of repairing the impaired relationship with a view to restoring the regulators' confidence in NICOL and called on the regulators to recognize that the company was relatively young.
The position of the shareholders came as a result of a joint statement issued on October 29 by CMSA, NBAA and BRELA in which the regulators portrayed NICOL's directors as being ineffective in discharging their responsibilities and of being defiant by refusing to implement directives given by the regulators.
The regulators had in their joint statement declared NICOL directors as unsuitable and urged them to resign or be removed.
Prior to the AGM three NICOL board members had tendered their resignations. However, in view of the shareholders' stance at the AGM, they regretted that NICOL's relationship with the regulators had deteriorated that much and pledged the readiness of the company to comply with the directives of the regulators.





SOURCE: THE GUARDIAN

I'm totally puzzled by NICOL shareholders! They have postponed the problem and for sure they are going to loose even what they could salvage by letting the Directors go! Nicol shareholders still have Ujamaa mindset in free market world! Once beaten twice shy! Quick reaction is needed to save NICOL! More time for what? To ruin everything!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom