Halfcaste
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 972
- 215
The last resort regardless CDM or CCM ni udini. Kwani mlipoamuwa kutukumbatia mlikuwa hamjui kuwa tuna Dini tofauti na nyie msiyonayo?
Dini ndio mnazo nasi tunazo lakini hatuendekezi ubaguzi,hatuchomi makanisa wala misikiti kama mfanyavyo,hatuna U-unguja wala U-upemba.Vyuoni huku bara mnapenda kujitenga tenga as if your not human beings,jirekebishe ninyi Wazanzibar.
Acheni Ubaguzi lol!