mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
ubepari hauna adabu.Serikali imesema Bungeni leo kwamba mojawapo ya vigezo vilivyotumika kuwagawia vigogo viwanja vya eneo la Gezaulole lililopo Kigamboni ni pamoja na uwezo wa waombaji kuendeleza eneo husika.
Waziri mhusika amesema kwamba Manispaa ya Temeke ilipokea maombi 16,000 lakini viwanja vilivyokuwepo ni 1,800 tu.
Ameendelea kusema kwamba vigogo nao ni wananchi na wana haki ya kumilikishwa ardhi
Amekuwa mkweli na muwazi sana na ndivyo CCMABWEPANDE walivyo very good