serikali tz inauwa waislam znz - pastor munishi

under_age

JF-Expert Member
Apr 17, 2007
317
115
samahani kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa. nilipekua pekua nikakaona. naona mchungaji yupo veri nyutrali. mie simooo . kazi kwenu ! msje mkasema nimesema mie. kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa mods kiweke kwenye bin .


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=E5UJHGkVu00[/ame]

enjoi
 
Hii clipu ingefaa waonyeshwe WAZEE WANAOSHUGHULIKIA MUAFAKA, lakini jamaa ameongea vivuri, inaonyesha yeye ni mpizani wa JK Nyerere na CCM! na anahasira kweli kweli na CCM sijui walimfanya nini jamani.
 
Back
Top Bottom