Serikali tunasubiri mnafanya nini kuikoa atcl??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Baada ya kupata matatizo ya ndege
ni wakati muafaka sas serikali kutamka wameandaaaje kuisaidia atcl kupata ndege nyingine

ni ukweli halisi sasa atcl aina ndege tena na ni wakati muafaka wa serikali kusema wameaandaaje
na nini kifanyike kuikoa atcl ..akuna asieamini hili kwamba hata kama itakaa bila ndege mwaka mmoja
atcl itabaki kuwa national carrier.aijalisha una ndege nyingi kiasi gani swala ni jinsi gani tutaisadia
national carrier ku fly all over the world,

wengi watasema tuache atcl ifie mbali ,lakini naomba niwe mkweli ni wakati muafaka sasa kuisaidia kampuni hii tusiangalie tumetoka wapi tuangalioe tunaenda wapi hili ndilo jambo muhimu
 
Comrade una mawazo mazuri sana juu ya nchi yako lakini wanaokuongoza ndio tatizo hawana wivu wa maendeleo kazi yao kupiga porojo tu, hivi Comrade hata nchi kama Rwanda wanatuzidi kufikiri kweli?
 
Mkuu umeongoe a jambo la maana kweli kabisa tatizo ni wakuu wetu wanaotuongoza kwa hiyo nahisi kabla ya kufikiria kuisadia atcl tuisaidiaje serikali ya kikwete kwanza ijue umuhimu wa miundo mbinu na umuhimu wa national carrier naamini kagame akununua ndege zile kisa kuonyesha watu bali ni uchungu wa kuona ataifanyia nini nchi yake na sio nchi kuifanyia yeye kama rais wetu anaesubir amalize muda wake apige mahesabu wamelamba ngapi ni maisha magumu kuamini lakini naamini mabadiliko yatatokea hata kama si kwa rais huyu basia ajaye kuwa na upendo na atcl,tazara,reli za nchii na mengineyo..kuna watu wanatafuna pesa za miradi ya mabasi yaendayo kasi pale ubungo plaza akuna kinachoendelea hii ni laana
 
Back
Top Bottom