Serikali, Tunaomba Majibu ya Matibabu ya Loliondo

Serikali imeshatoa majibu kuwa hamna madiliko ya kiafya kwa waliokunywa kikombe wenye magojwa bado yapo,hivyo yule mchungaji tapeli kama matapeli wengine
BABU siyo Tapeli,wewe uliyeenda ndiyo mwenye matatizo ya Akili،Babu aliwatibu wenye Imani,wewe ulienda kwakua ulikua na pesa hukua na Imani ungeponaje? Kwa taarifa yako hadi leo hii watu wenye Imani zao wanae
enda na wanasaidiwa,hata kwa Mzee wa upako wanapona kwa Imani.
 
Sawa uliyosema,lakini! Kwanini umetengeneza picha ya mvuta bangi ukaweka kichwa cha babu wa loliondo? Unania ya kutuambia nini juu ya picha hiyo yakuunga mwili wa mtu mwingine na kichwa babu wa loliondo?

Naunga mkono hoja!
 
Ni kweli. Kama tunafanya mambo hata bila ya kutumia akili ya kawaida tu aliyotujalia Mwenyezi Mungu hatuwezi kukwepa lawama na kusukumizia serikali!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom