Serikali, Tunaomba Majibu ya Matibabu ya Loliondo

Wakati anasoma hotuba ya wizara ya afya, waziri mwenyedhamana amesema kati ya watu waliofanyiwa uchunguzi wale waliokunywa kikombe imebainika kuwa hakuna mabadiliko katika magonjwa yao.
 
kuanzia ngazi ya chini(maskini) mpaka ngazi ya juu kabisa(walioukata/mafisadi) ni utape utapel utapeli tuuu!! naskitika weng walienda maelfu kwa mamia,wengine walifia kwenye msafara wakingoja kikombe!!! kumbe ni utapeli..dah!!!!!
 
Babu alijikumbia mapesa sana,dah mjini lazima uishi kwa akili babu kawazidi kete wenzie...
 
Hivi hawa wanajisikiaje humo Bungeni? aibu au?
LukuviRosemaryinLoliondo_.jpg

dkmagupombe.jpg

asiramkono.jpg
 
Babu alijikumbia mapesa sana,dah mjini lazima uishi kwa akili babu kawazidi kete wenzie...

nikaujanja wa KANISA 2 nasie yeye 2wapo wengi wengine wanajifanya wa ponya walio na maladhi mbalimbali lakini ukiwambia waende pale MOI..muhimbili tabu inaanza hapo LONGO LONGO 2 wajinga ndio waliwao....
 
wala sio utapeli,maana kunawalioamini na wakapona.sema wengi walienda kujalibu na baada ya kunywa kikombe wakaendelea na tabia zao chafu,kama ufisadi n.k.
ilikula kwao.
 
Jamani, watu wamepona , wengi mno...Nina ushahidi wa kuona na wa kimazingira! Waziri wa Afya hakuwa na IMANI, asivuruge ugunduzi wa watu wa tiba za kiimani....
Mwacheni babu aponye watu wenye shida zao bana.
Sasa hivi kwa taarifa yenu kuna misururu tokea Ethiopia Sudan, na nchi nyingine kadha za The Horn of Africa!
Babu anatembea kwa US dollar sasa...
Wenye wivu wajitundike!
 
thibitisha uongeacho!!???
 
wala sio utapeli,maana kunawalioamini na wakapona.sema wengi walienda kujalibu na baada ya kunywa kikombe wakaendelea na tabia zao chafu,kama ufisadi n.k.
ilikula kwao.
mh! kaz kwel kwe;!!!
 
Jamani, watu wamepona , wengi mno...Nina ushahidi wa kuona na wa kimazingira! Waziri wa Afya hakuwa na IMANI, asivuruge ugunduzi wa watu wa tiba za kiimani....
Mwacheni babu aponye watu wenye shida zao bana.
Sasa hivi kwa taarifa yenu kuna misururu tokea Ethiopia Sudan, na nchi nyingine kadha za The Horn of Africa!
Babu anatembea kwa US dollar sasa...
Wenye wivu wajitundike!

nadhani ni imani yao imewaponyesha ..
hata mi kuna mtu ameniambia amepona kabisa kisukari ..
 
Kwa jinsi serikali karibu yote ilivyopiga kikombe kwa mkwara hivi babu angekoroga poison si tungekuwa tunazungumza mengine sasa hivi?
 
Back
Top Bottom