Serikali/tanesco wanatakiwa kuionyesha jamii kuwa mtatiro- cuf ni mwongo

mwananyiha

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
248
43
Kufuatia tamko la CUF dhidi ya serikali kwamba hata kama bwawa litakuwa limefurika bado kutakuwa na mgawo wa umeme. Serikali/TANESCO inatakiwa waoneshe kuwa maneno hayo ni uongo kwa kutoendeleza mgawo, vinginevyo itathibitika bila mashaka yoyote kwamba serikali ni waongo na tusitegemee kuwaamini kwa lolote.
 
Walisema mvua itakaponyesha,ikanyesha wakasema bomba la gesi linafanyiwa matengenezo,wakamaliza!wakasema IPTL na dowans zikiwaka mgao utaisha.IPTL na dowans zimewasha pamoja na AGREKO lakini wapi,sasa wanasema mafuta hakuna na mahitaji ya umeme yamekua makubwa.nakuhakikishia hata kuwe na mafuriko mgao chini ya ccm utaendelea kuwepo kwani hawana mawazo ya kuzalisha 5000mw toka rufiji au rusumo falls!
 
Rufiji na rusumo huko maji hayapungui?
 
Back
Top Bottom