BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
ni aibu isiyo na kifani kwa serikali ya jk baada ya TRA kushindwa kukusanya kodi kutokana na uzembe wa watendaji wake sasa imeamua kukusanya kodi za makaa ya kupikia majumbani.kwa kipindi cha wiki moja sasa pale kibaha kuna watu wa maliasili,wakikuta gari ina mkaa hata gunia moja unaambiwa ulipie ushuru sh 6000 kwa gunia, vinginevyo wanataifisha!jee na gesi ndio hiyo bei yake haishikiki na sasa mkaa ndiyo tangazo la serikali nimeliona itv leo sijui tutaishije wa tanzania.