Serikali onyesha uadilifu, mfukuze mhariri wa gazeti lako la habari leo

LGMJAMII

Member
Nov 5, 2010
44
1
Mhariri wa Gazeti la Habari Leo Umepata aibu ya Mwaka, Unatakiwa wewe mwenyewe Ujiuzulu au SERIKALI ikuondoe hapo ulipo.

Ulishabikia sana Kanisa Katoliki pale ambapo lilipoonyesha Msimamo wake wa KUTOFURAHISHWA na baadhi ya wagombea uongozi wa CCM walipotumia vibaya IMANI YA KIKRISTO au MANENO MATAKATIFU na MSINGI WA IMANI ya KIKRISTO.

CCM wenzako wameomba msamaha leo hii, Wewe ni mtu gani?, Nazani wewe si PROFESSIONAL wa taaluma yako, na nazani Hustahili hata kusikilizwa kwenye jamii yako na ya Watanzania pia.

Hufai, BORA RESIGN TU.

SERIKALI Onyesha Uadilifu wako.
 
Hebu tuwekee tahariri au habari aliyewahi kuandika mhariri huyo alipoonesha ushabiki wake. Vinginevyo thread yako ina hang tu
 
Hana kosa hapo! Isitoshe kanisa katoliki limejaa uchafu mkubwa! Linaunga mkono siasa za chadema lina wagawa watanzania! Ni kanisa la wahuni tupu!
 
Hebu tuwekee tahariri au habari aliyewahi kuandika mhariri huyo alipoonesha ushabiki wake. Vinginevyo thread yako ina hang tu

mkuu... umeshasahau mavuvuzela pale South Africa juzi tuu..... wapiga vuvuzela kawaida hutaka kila mtu amsikie..... lakini hajui anawachanganya hata wanaoshangilia na wasioshangilia
 
Sure, he is to go!!! Pinda amekiri kuwa CCM ilianzisha siasa za udini na ilitumia siasa hizo za maji taka ili kuingia madarakani. Uchaguzi haukuwa rahisi kwao kama walivyotegemea. Watu wengine kama Mhariri wa Habari leo walicheza ngoma wasizozijua!!
 
Hana kosa hapo! Isitoshe kanisa katoliki limejaa uchafu mkubwa! Linaunga mkono siasa za chadema lina wagawa watanzania! Ni kanisa la wahuni tupu!
Heshimu imani za watu please. Kwani Methodius Kilaini aliyesema JK chaguo la Mungu sio kiongozi wa kanisa? Pinda, Membe, Mkapa na wengineo wakubwa sio wakatoliki? Nao wanaibeba chadema au unakurupuka tu kwa sababu ya ushabiki? Achana na mawazo mgando
 
Ukweli mhariri wa "Habari Leo" alikua akiandika habari kwa kulidhalilisha kanisa na kuchochea chuki za kidini. Kwa hili nadhani anapaswa kutubu na kuchukua jukumu la kudhalilisha taaluma ya uandishi. La muhimu ni serikali kumwajibisha kwani mwandishi wa aina hii ni hatari sana... pengine wengi wetu tusio na upeo tunaweza tusione hatari aliyokua akisababisha lakini ushabiki wake kwa CCM kwa uchochezi na ripoti zilizoandikwa kwa maneno ya kulidhalilisha kanisa ulivuka mipaka ya uandishi wa kimaadili!
 
Hana kosa hapo! Isitoshe kanisa katoliki limejaa uchafu mkubwa! Linaunga mkono siasa za chadema lina wagawa watanzania! Ni kanisa la wahuni tupu!

Bila shaka wewe ndio mhariri wa habari leo, na bado lazima utaondoka katika utumishi wa umma na laana ya kulikashifu kanisa utaishi kwa tabu maisha yako yaliyobaki hapa duniani.
 
quote_icon.png
Originally Posted by mnyagundu
Hana kosa hapo! Isitoshe kanisa katoliki limejaa uchafu mkubwa! Linaunga mkono siasa za chadema lina wagawa watanzania! Ni kanisa la wahuni tupu!

- mnyangundu POTEAAAAAAAAAAA, Omba msamaaa mwenyewe HUSICHEZE na IMANI, Pili SIO VIZURI Kukashifu au Kuongelea kwa Kwejeli IMANI ya MTU MWINGINE,

POTEAAAAAAAAAA na OMba MSAMAAAAAAA- Ningekutana lakini basi na kuheshimu kama binadamu ULIYEUMBWA, hicho tu, ILA huna Akili wala HEKIMA wala UFAHAMU, UMEBAKI tu, bora.......
 
Hana kosa hapo! Isitoshe kanisa katoliki limejaa uchafu mkubwa! Linaunga mkono siasa za chadema lina wagawa watanzania! Ni kanisa la wahuni tupu!

Huyu ana akili kama malaria sugu vile? Au ndiye yeye? MAANA AKILI ZINAFANANA.
 
Back
Top Bottom