serikali na vyombo vyake wananufaika vipi kushusha idadi ya waliofariki katika ajali

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
wanapopunguza idadi ya kura za wapinzani huwa nawaelewa wana maana gani, lakini kama watu 60 wanakufa na wao wanatangaza 12 huwa sijui wana maana gani......
 
wanaficha udhaifu ili ionekane idadi ya waliokufa ni ndogo kwa hiyo wananchi hawatahoji sana.Kumbuka mapungufu yaliyojitokeza huko nyuma hayakufanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom