mkuu! si utuambie tu kuwa na wewe ni mmoja kati ya hao walio kwenye kikao! au na wewe hayo yako ya dodoma ni kuwanga! unayapi ya saa 7 usiku! ninaamini 100% ni mmoja wa kwenye hico kikao! napia wewe ndiye utakayetupa hizo habari! acha kuzunguka zunguka