Serikali na ccm mnajua mmeuona huu ujumbe?

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Imekuwa ni Tabia ya Serikali kubana Maendeleo kwa yale maeneo ambayo ni Ngome ya Upinzani. sasa Serikali msipokuwa makini ipo siku hawa jamaa watatimiza kauli za

IMG_8040.JPG

Je huu Ujumbe una Maana yeyote? Ni wa Kupuuzwa tu/

Tafakari chukua hatua
 
Imekuwa ni Tabia ya Serikali kubana Maendeleo kwa yale maeneo ambayo ni Ngome ya Upinzani. sasa Serikali msipokuwa makini ipo siku hawa jamaa watatimiza kauli za

View attachment 30417

Je huu Ujumbe una Maana yeyote? Ni wa Kupuuzwa tu/

Tafakari chukua hatua

kama hawauoni basi wakapime macho.

ukiacha maandishi ya kwenye bango, kuna ujumbe mwingine mkubwa hapo, na nadhani huo watoka kwa Mungu moja kwa moja: Dalili ya Mvua ni Mawingu.
 
Back
Top Bottom