Serikali na Bajaj: Tunaelekea wapi?

Kama kuna uzembe wa kufikiri ambao wa-TZ na haswa viongozi wetu wapenda kula wamewahi kufanya basi ni kuruhusu vibajaji kubeba abiria. Hivyo ni maalumu kwa walemavu lakini kwa sababu ni biashara ya wahindi na ndio hao walioishikilia nchi yetu, viongozi wetu ni wa kupelekeshwa tu. Wakikataa wataenda kutibiwa wapi, watakula wapi? Maana ukiacha ufisadi na waarabu naona viongozi wetu wanapenda sana uhindini.

SAY NO TO BAJAJIs!
 
Ni kweli 'Bajaji' si suluhisho la matatizo ya usafiri kwenye jiji letu.

Lakini kuhusiana na ajali za barabarani nadhani tatizo si Bajaji (au aina ya chombo cha usafiri). Tatizo kwa sehemu kubwa ni madereva wa vyombo vya usafiri na namna gani wanakuwa regulated (licencing process is so poor).

Kwa mfano:

  • Madereva kutofuata/zingatia alama na sheria za barabarani. Ukitizama sehemu nyingi madereva hawazingatii kabisa alama zinazoonesha kiasi cha juu cha mwendo kinachoruhusiwa kwenye baadhi ya maeneo ya barabara zetu. Angalia pia jinsi wanavyo overtake magari mengine, hawako makini kabisa!
  • Wimbi kubwa la 'madereva' wasio na ujuzi wa kutosha hasa pikipiki,bajaji, daladala nk.
  • Madereva wa magari kudhani kwamba kutumia barabara ni haki yao peke yao au haki yao iko juu kuliko watumiaji wengine (baishkeli, bajaji, wende kwa miguu nk). Dereva kusimama kwenye alama za pundamilia anaona kama vile anatoa favour kwa waenda kwa miguu!
  • Je ni madereva wangapi tunaowaona barabarani na vyombo vya moto wamepata leseni kihalali? (i.e. wamekuwa tested na idara inayohusika kama wana uwezo wa kuendesha barabarani au kuendesha magari ya abiria au magari ya mizigo nk nk).
Tukitaka kupunguza ajali za barabarani ni lazima tuanze na madereva na si vinginevyo.
 
Last edited:
You are right!! Tatizo Tanzania we r always doing "Firefighting" solutions(politics) nd we dont hav any specific short/long term policies and transport plans which can be implemented. We must hav those in in place whether so that wheteher it is the current government or future governments, these short/long term transport policies will be our guide lines on implementions and no politics or turning around and make our cities like India(just look even the status of our Railways infrastrucure as well!! We r just reversin!!! god bless our beloved country!!
 
Ni kweli 'Bajaji' si suluhisho la matatizo ya usafiri kwenye jiji letu.

Lakini kuhusiana na ajali za barabarani nadhani tatizo si Bajaji (au aina ya chombo cha usafiri). Tatizo kwa sehemu kubwa ni madereva wa vyombo vya usafiri na namna gani wanakuwa regulated (licencing process is so poor).

Kwa mfano:

  • Madereva kutofuata/zingatia alama na sheria za barabarani. Ukitizama sehemu nyingi madereva hawazingatii kabisa alama zinazoonesha kiasi cha juu cha mwendo kinachoruhusiwa kwenye baadhi ya maeneo ya barabara zetu. Angalia pia jinsi wanavyo overtake magari mengine, hawako makini kabisa!
  • Wimbi kubwa la 'madereva' wasio na ujuzi wa kutosha hasa pikipiki,bajaji, daladala nk.
  • Madereva wa magari kudhani kwamba kutumia barabara ni yao peke yao au iko juu kuliko watumiaji wengine (baishkeli, bajaji, wende kwa miguu nk). Dereve kusimama kwenye alama za pundamilia anaona kama vile anatoa favour kwa waenda kwa miguu!
  • Je ni madereva wangapi tunaowaona barabarani na vyombo vya moto wamepata leseni kihalali? (i.e. wamekuwa tested na idara inayohusika kama wana uwezo wa kuendesha barabarani au kuendesha magari ya abiria au magari ya mizigo nk nk).
Tukitaka kupunguza ajali za barabarani ni lazima tuanze na madereva na si vinginevyo.

Chukua tano mzee hapa umesema kweli yoteeeeeeeeeeee.
 
Apart from kulinganisha usawa wa vyombo hivi vya usafiri - Buses, Dalalas, Lorries, Saloon Cars, 4wheel drive cars, Bajajis, Pikipikis, Bicycles - sijui kama vyote vinalipiwa road licence fee, sijui drivers wana class tofauti za endeshaji etc. Ila VIONGOZI WA HII NCHI YA TANZANIA, WANGEFIKIRIA KU-REPLAN MJI WA DAR ES ALAAM. IMAGINE ASUBUHI WANANCHI WA MKOA WA DAR, WANAKUJA SEHEMU MOJA - CITY CENTRE - ndiko ofisi zote zilipo - soko kubwa la Kariakoo etc. Laiti ofisi nyingine zingekuwa KIBAHA - ZINGINE BAGAMOYO - TEMEMKE ETC. AT LEAST MJI UWE NA MATAWI (KAMA MTI VILE) - HILO NI WAZO LANGU - JEE WANA JF MNAONAJE?
 
Hawa jamaa 'tuliowaajiri' kwa miongo zaidi ya minne hawapendi kuumiza kichwa!
 
Apart from kulinganisha usawa wa vyombo hivi vya usafiri - Buses, Dalalas, Lorries, Saloon Cars, 4wheel drive cars, Bajajis, Pikipikis, Bicycles - sijui kama vyote vinalipiwa road licence fee, sijui drivers wana class tofauti za endeshaji etc. Ila VIONGOZI WA HII NCHI YA TANZANIA, WANGEFIKIRIA KU-REPLAN MJI WA DAR ES ALAAM. IMAGINE ASUBUHI WANANCHI WA MKOA WA DAR, WANAKUJA SEHEMU MOJA - CITY CENTRE - ndiko ofisi zote zilipo - soko kubwa la Kariakoo etc. Laiti ofisi nyingine zingekuwa KIBAHA - ZINGINE BAGAMOYO - TEMEMKE ETC. AT LEAST MJI UWE NA MATAWI (KAMA MTI VILE) - HILO NI WAZO LANGU - JEE WANA JF MNAONAJE?

Spot on!

Satellite towns zitasaidia sana kupunguza msongamano.

Pia, miundombinu iboreshwe, public transport iboreshwe na congestion charging iwe introduced. Sio lazima kila mtu awe na gari.

Why clog our cities na vimeo? I think we would be better off kama magari yangekua machache lakini mapya coupled with an ultra-modern public transport system where kila mtu anafika anakokwenda on time. Sio upuuzi wa sasa magari kibao lakini 98% "magobole" and nobody gets anywhere on time.

Our city authorities should borrow a leaf from Singapore and other countries with organised cities.
 
Habari za Kitaifa

Polisi ‘vitani' na bajaj
Imeandikwa na Veronica Mheta; Tarehe: 17th April 2009 @ 21:00

Habari Leo

Kutokana na ajali nyingi zinazosababisha watu kupoteza maisha au kupata ulemavu, Polisi Dar es Salaam itaanza operesheni maalumu kukamata pikipiki aina ya bajaj na madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani.

Operesheni hiyo itaanza keshokutwa, kwa kukamata madereva watakaokiuka sheria za usalama barabarani, kufungiwa leseni na kufungwa ili iwe fundisho kwa wengine. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema ajali nyingi zinazotokea hivi sasa zinazotokana na pikipiki aina ya bajaj.

Alisema kati ya Januari mwaka jana hadi Machi mwaka huu, Mkoa wa Kinondoni uliongoza kwa ajali 84 za bajaj na kusababisha vifo vya watu 19 na 82 kujeruhiwa. Mkoa wa Ilala ajali sita, kifo cha mtu mmoja na 10 kujeruhiwa wakati Temeke ilipata ajali 11 na kujeruhi watu 12.

Alisema ajali hizo zimesababisha baadhi ya watu kujeruhiwa, kupata ulemavu na wengine kufa kutokana na uzembe wa madereva hususani wa bajaj, ambao hawana leseni au hata kama wanazo hawajui sheria za barabarani.

Kwa kuwa ajali nyingi zinazotokea sasa zinasababishwa na madereva wa bajaj, alisema Polisi itafanya msako Dar es Salaam kwa lengo la kukamata madereva wasio na leseni, wenye leseni bandia na wanaopita pembeni au nje ya barabara.

Alitoa mwito kwa madereva wenye tabia ya kuacha leseni kwa waajiri wao au nyumbani, kutembea nazo ili watakapokamatwa iwe rahisi kutambuliwa. Wakati huohuo, Polisi imemkamata mkazi wa Dar es Salaam anayedaiwa kuwa jambazi sugu, Ponsiano Petro ‘Mjeshi' (31) aliyekutwa nyumbani kwake akiwa na bunduki aina ya shotgun iliyokatwa kitako.

Kamanda Kova alisema pamoja na bunduki hiyo yenye namba L471999 ikiwa na risasi tatu, alikutwa pia na spika za masikioni na kipaza sauti kimoja vikiwa kwenye begi la bluu. Wakati hu huo, Emmanuel Msovola (36), amejisalimisha Polisi baada ya kubainika kuwa mwizi wa kompyuta mbalimbali na kuziuza kwa watu akishirikiana na wenzake.
 
kwa nini watu wasiache kununua hizi pikipiki kazi kuwatajirisha wahindi wakati maisha ya mtanzania yanazidi kupotea na hizi bajaj zao wapeleke huko india walikojazana kiasi hakuna hata barabara za kupita.Hivi hawa watu prof.mzima eti bajaj zitumike kubeba wagonjwa kuwapeleka wapi ahera au....mbona wanashindwa kuwa na uchungu na maisha ya mtanzania. kwa nini wasifanye repatriation hao viongozi wenye ndoto za mchana wasitoe magari yao ya fahari yawe kwa ajili ya kusafirishia wagonjwa na wao kutumia hizo bajaj kwenda kazini maana wao si mbali mikocheni-posta,upanga-posta n.k
huu ni upumbavu uliopita maelezo. kwa nini msipeleke bajaj hizo vijijini kuwarahisishia wakulima usafiri wa hapa na pale na zaidi pengine kuwasaidia wazazi vijiji kuwapeleka watoto shule n.k Tulie kilio gani mtatusikia nyie watu mliokosa masikio ya kusikia na midomo ya kutamka yaliyo mema ya kuwapendeza watanzania.
 
This is disgusting especially when coming from the so called professor...., did he do any research before saying thee non-sense? what shame is to our so called leader!. Lets wait and see, timewill tell! God bless Tanzania
 
Habari za Kitaifa

Polisi ‘vitani’ na bajaj
Imeandikwa na Veronica Mheta; Tarehe: 17th April 2009 @ 21:00

Habari Leo

Kutokana na ajali nyingi zinazosababisha watu kupoteza maisha au kupata ulemavu, Polisi Dar es Salaam itaanza operesheni maalumu kukamata pikipiki aina ya bajaj na madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani.

Operesheni hiyo itaanza keshokutwa, kwa kukamata madereva watakaokiuka sheria za usalama barabarani, kufungiwa leseni na kufungwa ili iwe fundisho kwa wengine. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema ajali nyingi zinazotokea hivi sasa zinazotokana na pikipiki aina ya bajaj.

Alisema kati ya Januari mwaka jana hadi Machi mwaka huu, Mkoa wa Kinondoni uliongoza kwa ajali 84 za bajaj na kusababisha vifo vya watu 19 na 82 kujeruhiwa. Mkoa wa Ilala ajali sita, kifo cha mtu mmoja na 10 kujeruhiwa wakati Temeke ilipata ajali 11 na kujeruhi watu 12.

Alisema ajali hizo zimesababisha baadhi ya watu kujeruhiwa, kupata ulemavu na wengine kufa kutokana na uzembe wa madereva hususani wa bajaj, ambao hawana leseni au hata kama wanazo hawajui sheria za barabarani.

Kwa kuwa ajali nyingi zinazotokea sasa zinasababishwa na madereva wa bajaj, alisema Polisi itafanya msako Dar es Salaam kwa lengo la kukamata madereva wasio na leseni, wenye leseni bandia na wanaopita pembeni au nje ya barabara.

.

"Bajaj ambulances" je? au hizo hazihusiki kwenye hili zoezi?
Nani anajua wizara ya afya hadi sasa wameshanunua bajaj ngapi na kuzibadilisha kuwa magari ya wagonjwa kama alivyoahidi Waziri wa Afya.
 
Huyu Prof. Mwakyusa nafikiri tumchunguze asije akawa Prof. wa mazingaombwe!!!! Kwani kwa akili ya kawaida huwezi ukaanza kuirudisha nyuma Tanzania enzi za miaka 70 !!!!!!!!!!!!! Kwanza angefanya uchunguzi hizo Bajaj bei yake inakaribia kabisa na kununua Suzuki zikasambaa kote anakotaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom