Serikali na ajira za walim 2013

As usual,kwa serikali hii bila maandamano na migomo haki hakuna na hasikilizwi m2!
Nadhani wanasubiri maandamano na migomo kama Mtwara!!


Nakumbuka enzi za shule 2likua 2naimba
Tanzania tanzaniaaa,
Nakupenda kwa moyowoteee,
Nchi yangu tanzania,
Jina lako............!!.!

Ila leo hata wanishikie bunduki wakinambia niimbe siimbi

hahahaha! Serikali inatuangusha sana.
 
inatakiwe tuwakumbushe kwamba, Elimu na siasa haviend kwa pamoja. siasa ibaki siasa na elimu ibaki kuwa elimu,,sasa wamechanganya haya ndio matatizo.na leo ni 29/01,,labda tuangalie mwezi wa kisiasa kama upo ndio ajira mpya zitatoka,,:target:
 
jamani endeleeni kusubiri tu ila mkae mkijua ht zikitoka si wote mtapata,kuna watakaoachwa pia kwhy hapo ni kusubiri huku ukiomba ili jina litoke.
 
As usual,kwa serikali hii bila maandamano na migomo haki hakuna na hasikilizwi m2!
Nadhani wanasubiri maandamano na migomo kama Mtwara!!


Nakumbuka enzi za shule 2likua 2naimba
Tanzania tanzaniaaa,
Nakupenda kwa moyowoteee,
Nchi yangu tanzania,
Jina lako............!!.!

Ila leo hata wanishikie bunduki wakinambia niimbe siimbi

hahahaaa... U made my day.
 
mulugo na jk walitoa ahadi za kisiasa ambazo always ni uongo mtupu.

lakin kwa serikal kuahid na kutotekeleza bas hyo ni kuwahadaa wananchi wake kwa kiwango cha juu, au sababu wao hawana la kupoteza sababu watoto wao wanasoma nje ya nchi na shule bora!
 
Back
Top Bottom