Serikali mmejiaibisha kwa kukimbilia mahakamani: Mgomo wa madokta

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Si vibaya kwenda mahakamani, ni haki ya kila mmoja. Lakini kwa mgomo huu nadiriki
kusema aliyeishauri serikali kukimbilia mahakamani kachemsha. Kwani siku zote tunajua Tz wanyonge
mahakamani wanafanyiwa ya Tanesco tu. Nasema hivyo kwani tumeshuhudia juzi kesi kama ile ya
uchaguzi Ukonga ilivyoishia ukizingatia Mtuhumiwa alikuwa amekamatwa laivu na masanduku yenye
kura kule Temeke. ok

Swali langu kubwa ni JE, mahakama hiyo haina vifungu vya kusimamisha posho za wabunge
ili na sisi tuje kuweka pingamizi la posho hizo, uuzaji wa nyumba za serikali, upitishwaji wa
bajeti isiyokidhi matakwa ya wa Tz. ktk bunge, n.k?

Ikumbukwe kuwa mtu mmja tu alijichoma moto kule Tunis ikawa ni chanzo cha vurugu nchi nzima.
Je, si zaidi kwa madaktari wenye jamaa zao nchi nzima? Je, mnadhani tutalala hadi lini?
The wind of change (may be) is coming across Tanzania who knows? Once it blows no ONE
will do any thing to stop it. Be watchfull.

Eliminating a Dr. will be a very bad thing to regreat. No mahakama no police will be able to
stop it. Polisi nao wanataka kuwashitaki Madkt kisa wamedharau amri halali ya mahakama.
Nawauliza polisi, ngapi mnazitii?

MTU WA KWENU AKIPUNGUKIWA NA HEKIMA NA AOMBE... viongozi wetu ombeni hekima.
 
polisi wameaibika kwa yale waliyotenda kwa madokta sasa wanataka kulipa kisasi kuficha aibu zao, wao wanahusikaje na mgomo au wanataka kumpiga nani mabomu hewa?
 
Back
Top Bottom