Serikali lege lege ikoje?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,764
NILISIKIA WABUNGE WAKILUMBANA BUNGENI. KUWA SERIKALI LEGE LEGE SIKUJUA MWANZO ILA MWONGOZO WA SPIKA ULIMTAKA MCHANGIA HOJA ATHIBITISHE USEMI WAKE MARA MZEE SITA AKAANZA KUWAPAKA WAPINZANI NA KUWAKEBEHI KUWA WATABAKI KUPINGA TUU NA KUBEZA MEMA YA SERIKALI. HIVI WANAJAMII SERIKALI YETU INASEMA IKO IMARA NA MAKINI? JARIBUNI TU KUPITA MANZESE WAMACHINGA WANAUZIA BIDHAA ZAO BARABARANI NA KUONGEZA TABU YA FOLENI SERIKALI IKO WAPI WATU HAWA WAMERUDI TENA PALE KANDORO ALIPOWATOA KWA NIA NZURI TU YA KUWAONYESHA WANAKOSTAHILI KUFANYA BIASHARA? NENDA SHULE YA KATA YA TURIANI PALE MAGOMENI IMEZUNGUKWA NA GEREJI AMBAYO INAGONGA VYUMA NA MABATI YA MAGARI WATOTO WETU WAKIWA DARASANI WAKIHITAJI UTULIVU ILI WAWEZE KUFUATILIA MASOMO. KELELE NI KUBWA NA SIDHANI KAMA HAWA WATOTO WANASOMA KWA UTULIVU. HUO SIO ULEGE LEGE WA SERIKALI? NENDA POSTA ASUBUHI MAANDAZI, SAMAKI, CHAPATI CHAI ZINAUZWA KATIKATI YA KITUO CHA MABASI YA UBUNGO NA MWENGE YAANI CITY CENTER SERIKALI IPO IMENYAMAZA HUO SIO ULEGE LEGE?  KAMA SERIKALI INASHINDWA KUSIMAMIA SHERIA NDOGO TU SIYO LEGELEGE? PSE NAOMBA MWONGOZO WA SPIKA PSE!
 
1. Haikusanyi kodi hasa kwa wahindi
2. Ina programme zisiizo endelevu, na wananchi wanatumia mwanya huo mfano walitumia pesa nyingi kuhamisha wafanya biashara 4 ways masaki , Sasa hivi pameenea vitanda na biashara zingine ndogo ndogo zinaibuka na zinamwelekeo wa kukua na kujiimalisha kama hapo awali.
3.
 
Serikali legelege haikusanyi kodi,..na ile kidogo iliyo kusanya inakwenda kwa mafisadi,...upo hapo?
 
1. Haikusanyi kodi hasa kwa wahindi
2. Ina programme zisiizo endelevu, na wananchi wanatumia mwanya huo mfano walitumia pesa nyingi kuhamisha wafanya biashara 4 ways masaki , Sasa hivi pameenea vitanda na biashara zingine ndogo ndogo zinaibuka na zinamwelekeo wa kukua na kujiimalisha kama hapo awali.
3.
3.Inawaogopa mafisadi na kuwasujudia
4.
 
Ni kama serikali ya TZ...matumizi makubwa kuliko mapato...kutwa kutetea wawekezaji wa ktk sector ya madini, makampuni ya simu, etc, Kutegemea zaidi wafadhili kuendesha nchi hasa miradi ya maendeleo,
Viongozi wake hawajibiki kwa wananchi etc
 
Serikali legelege ni km hii ya kikwete ambayo ni mlezi mkuu wa mafisadi.....................
 
Back
Top Bottom