Serikali kuurudisha Mgodi wa Kiwira mikononi mwake

holypotato

Senior Member
Sep 20, 2010
192
219
Kama nakumbuka vizuri waziri alishasema tena akiwa bungeni kuwa mgodi umesharudishwa serikalini, ila kwa kauli za sasa mchakato wa kuurudisha ndio unaanza sasa. Maana yake tuliingizwa chaka sijui ni ili kumsafisha mzee??? au waziri alipitiwa tuu......
nini adhabu ya waziri anapothibitika kuwa alilipotosha bunge??:gossip:

source: Serikali kuurudisha Mgodi wa Kiwira mikononi mwake
 
Utaombwa ushaidi wa maandishi kwa kumsingizia waziri, omba spika asione post yako!
 
Wewe bado uanamini kauli za mawaziri wa JK. Kuanzia kwa JK na waziri mkuu ni uwongo kwa kwenda mbele. usihangaike kujua kama waziri alidanganya kwani kama rais na waziri mkuu wanadanganya waziri wa kawaida akidanganya wala hakupaswi kukushtua.
 
Back
Top Bottom