Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

Huku nako huyu mtumwa wa kisiasa anakuja na kauli hii?

Ama kweli nimekubaliana na kauli ya Mh.Manyika ya kwa serikali tawala na watumishi wake ni DHAIFU fluuuuuuu!!
 
Shamba la bibi hili, kipimo cha kiongozi ni kipi kwani..... Watanzania tunakasumba mbaya sana ya kuchagua viongozi matahira na kuachana na wenye akili timamu. Haya ndo matokeo yake, mwisho wetu ni mbaya sana katika hii...
 
11.Kwa atakeeshindwa kulipa 200Tsh. basi apige mbizi. Stated by Magufuli to Kigamboni residents.
 
liwalo na liwe maana yake ni; WAtoto wangu wakiugua au mimi nitakwenda India so wagome wasigome mimi siadhiliki.
 
Cjui kwa nn wananchi Tanzania ni maskini.

Hakika huu ndo mwisho wa mateso kwa watanzania. Ukombozi unakuja tena kwa kasi kubwa ajabu hamuwezi amini.
YETU MACHO KUONA YATAKAYOTOKEA HAPO BAADAYE.
 
halamu mtu akisema rais ni dhaifu.....serikali daifu.... ccm dhaifu Ntolwa bungeni ndo wataanza kuelewa nini maana ya kauli ya mnyika sasa
 
Mie nadhani wote hawatutendei haki walipa kodi na wapiga kura wa nchi hii,kumbuka madktari wengi wamesomeshwa kwa kodi zetu cc wanaotusaliti leo hii na pia serikali kutolitazama tatizo hili kwa jicho la 3 na kutoa majibu dhahifu.je kunatofauti gani Kati ya boko haramu na madoktari wakibongo??
 

Attachments

  • IMG-20120606-02541.jpg
    IMG-20120606-02541.jpg
    219.6 KB · Views: 53
Cjui kwa nn wananchi Tanzania ni maskini.

Hakika huu ndo mwisho wa mateso kwa watanzania. Ukombozi unakuja tena kwa kasi kubwa ajabu hamuwezi amini.
YETU MACHO KUONA YATAKAYOTOKEA HAPO BAADAYE.

Ukishapeleka mgojwa wako Kwa daktari halafu akakuambia kagoma halafu ukarudi nyumbani unamfagilia daktari kwa sababu yeyote ile huo utakuwa uendawazimu! Pinda kesho toa tamko ambalo serikali imechelea siku nyingi watz tupo nyuma yako
 
Je kama wewe ungekuwa ndiye Waziri Mkuu, ungesema nini?

Tafadhari toa wazo zuri na lenye kuleta amani na sio chuki na kuvunja amani.
Amani uanyo wewe ambaye una uhukika wa kutibiwa na nduguzo zako wote! Ningekuwa mimi pinda ningejiuzulu na kukaa pembeni ni waachie watu wenye upeo na uwezo wa kauwatuliza madaktari. MIMI NAONA AIBU KWA KIONGOZI KAMA PINDA KUTAMKA BUNGENI KWAMBA WANAENDA MAHAKAMANI kukatataza madaktari wasogome. Watanzania tutibiwe kwa amri ya MAHAKAMA na si MOTISHA, UELEDI na UKALIMU wa MADAKTARI.
 
Yesu wangu siamini macho yangu wala ninachokisikia dw hivi kweli serikali imefika hapa imefika hapa eh Mungu imetosha sasa duuh, Mungu akuponye.
 
Naamini madaktari watagoma kumtibu huyu pia! Wasionee makabwela tu! Anyway Ulimboka mikono yake imejaa damu ya watu waliokufa kwa migomo inayoongozwa na huyu! Taste your own medicine dude!
 
Sio kwa sababu ya viongozi dhaifu?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

Ni kwa sababu ya nini sasa,nikuulize swali mbona wakati wa mkapa madaktari hawakugoma?kama sio uendeshaji mbovu wa serekali?si mtetei Mkapa lakini unaona tofauti kubwa ya uongozi kwa kila awamu
 
Back
Top Bottom