Serikali kusitisha kupandisha madaraja/cheo walimu kuanzia sasa hadi April.

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Hbr wakuu,
mimi ni mwalimu niliyepata shahada ya elimu mwaka jana,
nnlifika kwa afisa utumishi ili kufanyiwa marekebisho ya mshahara kwa kigezo cha elim baada ya kukamilisha hatua zote,jambo la kushangaza na kuumiza akaniambia kuwa serikali imesitisha kupandisha madaraja ya mishahara hadi mwezi april,
je ni kweli?
Kama ni hivyo mbona imekandamiza na inazidi kututesa sisi waalimu.
 
Si kweli mkuu,nna jamaa zangu kadhaa ambao walikua na cheti na sasa wana bachelor na kilichofanyika sio kupanda kwa daraja isipokua alianza kupokea daraja D1,ukifuatilia hapa kama angelikua na Daraja E mfano wala wasingemfanyia chochote badala yake ni kushushwa tuu sasa nani atakayekubali hili? ndivyo nijuavyo mie.
 
kuna washkaji zangu pia kutoka crush-bachelors wataanza na D na si vinginevyo ..ila ni ka exploitation flani
 
c ndo tunasubiria tupande mwaka huu,wakileta uhuni huo itakuwa cyo sawa.Mwezi wa nne tulitakiwa tuwe tumeshaanza kula Nyongeza
 
Hii taarifa kanipa afisa utumishi tarehe 15,alhamis,
kuwa ni maelekezo kutoka tamisemi hivyo wamesitisha kuanzia sasa,
 
Hbr wakuu,
mimi ni mwalimu niliyepata shahada ya elimu mwaka jana,
nnlifika kwa afisa utumishi ili kufanyiwa marekebisho ya mshahara kwa kigezo cha elim baada ya kukamilisha hatua zote,jambo la kushangaza na kuumiza akaniambia kuwa serikali imesitisha kupandisha madaraja ya mishahara hadi mwezi april,
je ni kweli?
Kama ni hivyo mbona imekandamiza na inazidi kututesa sisi waalimu.

Sio kweli.serikali haifanyi mambo kihuni,mwambie akuoneshe waraka.all the best mkuu.komaa nao.
 
Si kweli mkuu,nna jamaa zangu kadhaa ambao walikua na cheti na sasa wana bachelor na kilichofanyika sio kupanda kwa daraja isipokua alianza kupokea daraja D1,ukifuatilia hapa kama angelikua na Daraja E mfano wala wasingemfanyia chochote badala yake ni kushushwa tuu sasa nani atakayekubali hili? ndivyo nijuavyo mie.

Hiki ndo kilinikimbiza ualimu. Nimetoka cheti kwenda Dip hakuna mabadiliko yeyote kwenye sallary, nikaona labda ngoja nifike Degree nayo ikawa nongwa. Nilipofika TSD wakaanza ooo ooo hakuna kuongezeka mshahara utapanda cheo kuwa sijui Afisa Elimu. Nikawauliza wanangu wataenda kula cheo? Cheo kitalipa gharama nilizotumia kujisomesha? Mzee mmoja alivyoona nimekuwa mkali akaniambia kijana, usikate tamaa hiyo elimu ni kwa manufaa yako, anza kutafuta kazi nyingine. Nikamwambia mzee hapo umesema. Mungu nae akafungua mlango baada ya application moja tuu, wakanikubali. Angalau sasa nalipwa kulingana na uwezo na elimu yangu.
 
hongera sana mkuu!!,
 
hongera sana mkuu!!,

Naogopa kupokea hongera Ziltan kwani napata pesa lakini moyo wangu upo kwenye kazi ya ualimu. Napenda sana hii kazi kwani mchango unaoacha kwa jamii haupimiki. Nikiwaangalia wnfz wangu wenye kazi zao mzuri sana, naona jinsi ambavyo nimemsaidia mtu duniani. Tumeumbwa kumsaidia mtu fulani duniani.
 
Last edited by a moderator:

hata hapo pia kuna watu wnegi tu unawasaidia kwa nafasi uliyonayo mkuu,
so wahudumie tu vizuri thawabu ziko palepale,
 
Last edited by a moderator:
Naogopa kupokea hongera Ziltan kwani napata pesa lakini moyo wangu upo kwenye kazi ya ualimu. Napenda sana hii kazi kwani mchango unaoacha kwa jamii haupimiki. Nikiwaangalia wnfz wangu wenye kazi zao mzuri sana, naona jinsi ambavyo nimemsaidia mtu duniani. Tumeumbwa kumsaidia mtu fulani duniani.

SHOO LAZIMA, unaugonjwa, ni kweli, unajisikia kufanya kazi ya kanisa, lkn kanisani mbona pesa zima, mchugaji au padr agni mwembanana?

uliposema wanao watakula cheo? ulitaka nini? usiwe kama sokomoko
 
Hbr wakuu,
mimi ni mwalimu niliyepata shahada ya elimu mwaka jana,
nnlifika kwa afisa utumishi ili kufanyiwa marekebisho ya mshahara kwa kigezo cha elim baada ya kukamilisha hatua zote,jambo la kushangaza na kuumiza akaniambia kuwa serikali imesitisha kupandisha madaraja ya mishahara hadi mwezi april,
je ni kweli?
Kama ni hivyo mbona imekandamiza na inazidi kututesa sisi waalimu.
Bilashaka huko sahii na huo ndo mpango mzima kwa watumishi wote wa serikali: nami taarifa nilizozipata ni kwamba kuna Waraka umetoka kwenye Idara yetu tofauti na ualimu dokezo kupitishwa kwa Maafisa Utumishi wote kuwataarifu usitishwaji kupandisha madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma kwa sasa. Sababu ya msingi haijulikani.
 
Acha kabsa wewe ni mwl kaz yako kuelimisha mwaka jana umetoa kidato cha 4,pia mwaka huu 2012 wengine bado unao madarasan umekumbuka kuwambia 2015 kura zote ccm,usitumie hasra waelimishe kuwa kabla ya uchaguz selikal huwa inawakumbuka.
 
Back
Top Bottom