Serikali Kushindwa Kubaini Vipaumbele

cerezo

Senior Member
Sep 14, 2008
154
14
"Mimi siungi mkono mgomo. Sipendi kuona wananchi wanakosa huduma muhimu-iwe ya tiba, maji, elimu, chakula...lakini hapa kuna madai ya mazingira bora ya kazi na maslahi ya wafanyakazi..... Kwa mfano, sijamaliza kupitia vitabu vyote vya bajeti inayojadiliwa sasa, lakini tayari nimeona kuna Sh bilioni 15 kwa ajili ya chai!!" Dr Slaa- Mwanahalisi toleo No. 301 ya Jumatano Julai 4-10, 2012

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom