Elections 2010 Serikali kulipia wizi wa Nyanza si rushwa?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakati akiwa Mwanza kwenye kampeini za Chama chake Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya Serikali yake kulipia pesa za nyanza zilizoibiwa karibu sh bilioni 5.

Je kwa sheria za uchaguzi hili haliwezi kuingia kwenye rushwa?
 
Back
Top Bottom