Serikali kukopa Stanbic ni sahihi?

Wana-JF hebu tusome article hii inayoelezea 'pande mbili za sarafu ya shillingi' yaani manufaa na hasara ya serikali kukopa toka benki binafsi hususan kwa Tanzania ktk kipindi hiki tunachopitia. Nafikiri tukisoma article hii tutaelewa kama tutapata madhara makubwa au faida ndogo na pia itawawezesha 'wabunge machachari' kujiweka sawa kwa kikao cha Bajeti June 10, 2010. Unaweza kusoma article nzima ktk linki hii kwa hisani ya gazeti la The East African:

Au waweza kusoma vifungu hivi nilivyodokoa toka ktk article hiyo:
''Given the size of the loan, it is expected that the Bank of Tanzania would have concerns that it would slow down lending to the private sector as banks prefer lending to the government, increasing interest rates in the economy. This would then slow down consumption by consumers and businesses as debt becomes more expensive.''

''A senior lecturer at the Mzumbe University Dar es Salaam Business School, Dr Prosper Ngowi, said that the move will have a crowding-out effect on the private sector, adding, "Commercial bank borrowing increases the debt burden and it's the next generation of taxpayers who will bear the brunt of paying back the debt."

''It is not clear how the Treasury by borrowing directly from commercial banks can avoid triggering a rise in local interest rates, but the strategy makes political sense in an election year because commercial banks will not make tough demands. ''

''Bank of Tanzania Director for Economic Policy, Dr Joseph Massawe said the central bank has not reached its limit on issuing Treasury bonds and that there are a number of issues to be taken into consideration before arriving at a conclusion on borrowung from commercial banks !?@*''.
 
Bagamoyo tunalolisema hapa JF na kilichoandikwa kina tofauti gani? Pegine labda limeongezeka jina la Dr tu but tunalolisema hapa JF ndio hilo wanalolisema hawa. Kwamba Kukopa ndani ya nchi kuna faida na hasara zake but kimtazamo hasara ni nyingi kuliko faida. Mazingira ya Tanzania bado hayajakaa kwa kuruhusu sie tukope tutakuja kujutia maamuzi yetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom